Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Wapi alisema ni makafiri?Muhamada kasema ..tatizo lenu waislamu ni sawa na tatizo la wakristo ...kuna sehemu Muhammad kaeleza haya ninayo kuambia ila uelewa wenu ni mdogo hivyo msomapo hayo maelezo ya Muhammad mnashinda kutambua kuwa alikuwa anaongelea madhehebu
Niliuliza swali hapa.. uislamu uonaongozwa na msahafu je madhehebu ni muongozo kutoka kwa nani ?...kama siyo kwa Allah basi ni ukafiri..wewe ndiyo haujui maana ya neno kafiriWapi alisema ni makafiri?
Au inawezekana hujui maana ya ukafiri na unahisi kila lisilo sahihi ni ukafiri
Bado haujui maana ya ukafiri unatupigia kelele tu π€£Niliuliza swali hapa.. uislamu uonaongozwa na msahafu je madhehebu ni muongozo kutoka kwa nani ?...kama siyo kwa Allah basi ni ukafiri..wewe ndiyo haujui maana ya neno kafiri
Kuzini kuna weza kuwa ukafiri ...pia kunaweza kuwa siyo ukafiri niulize kwa nini ? Jibu nitakalo kupa ndiyo utajua kwa nini madhehebu ni ukafiri kwa asilimia mia...nitakutajia tofauti ya kuzini kunako kuwa ukafiri na kuzini kusiko kuwa ukafiri π niite mwalimu wa walimu kwanza maana hii elimu nitakayo kupa hapa hauta weza kuipinga wala haujawai kuisikia popote kwa Sheikh wala kwa mtu yoyote duniani. Nitakuonyesha uzinzi wa ukafiri upoje na uzinzi usio wa ukafiri upoje. adriz Jagina Malaria 2Bado haujui maana ya ukafiri unatupigia kelele tu π€£
Je,kuzini ni muongozo wa Allah?
Usikute hata kuzini unadai ni ukafiriπ€£π€£π€£
Na kuiba nako ni ukafiri?π€£π€£π€£Kuzini kuna weza kuwa ukafiri ...pia kunaweza kuwa siyo ukafiri niulize kwa nini ? Jibu nitakalo kupa ndiyo utajua kwa nini madhehebu ni ukafiri kwa asilimia mia...nitakutajia tofauti ya kuzini kunako kuwa ukafiri na kuzini kusiko kuwa ukafiri π niite mwalimu wa walimu kwanza maana hii elimu nitakayo kupa hapa hauta weza kuipinga wala haujawai kuisikia popote kwa Sheikh wala kwa mtu yoyote duniani. Nitakuonyesha uzinzi wa ukafiri upoje na uzinzi usio wa ukafiri upoje. adriz Jagina Malaria 2
Yaaahh kuna kuiba kwa ukafiri na kuiba kusiko kwa ukafiri ...nimesha kueleza ...sema wewe haujui ni wizi gani ulio wa kikafiri na wizi gani usio wa kikafiriNa kuiba nako ni ukafiri?π€£π€£π€£
Mpaka hapo basi hakuna unachokijua unasumbua tu watu na bando lakoπ€£π€£π€£Yaaahh kuna kuiba kwa ukafiri na kuiba kusiko kwa ukafiri ...nimesha kueleza ...sema wewe haujui ni wizi gani ulio wa kikafiri na wizi gani usio wa kikafiri
Sema haujui .... upewe ilimu wewe kafiri .. unaona waislamu wenzako makafiri wamenyamaza kimya π usidhani awana akili au awajaona swali.. pia usidhani awakufuatilii wewe unavyo jibu π hivyo tambua kuwa wanaogopa hujibu hoja ..wamejikunyapa wanakufuatilia wewe waone kama unao uwezo wa kuokoa jagazi la mudi boy the mbususuMpaka hapo basi hakuna unachokijua unasumbua tu watu na bando lakoπ€£π€£π€£
Hapa huna hoja na mimi nakuenjoy tu maana najua nikianza kutaka maandiko utaanza kulia maana umezoea kujitungia kutoka kichwaniSema haujui .... upewe ilimu wewe kafiri .. unaona waislamu wenzako makafiri wamenyamaza kimya π usidhani awana akili au awajaona swali.. pia usidhani awakufuatilii wewe unavyo jibu π hivyo tambua kuwa wanaogopa hujibu hoja ..wamejikunyapa wanakufuatilia wewe waone kama unao uwezo wa kuokoa jagazi la mudi boy the mbususu
Maandiko naweza kukuletaa kutoka kwa msahafu na biblia zaidi ya 100...mimi sifopoki hovyo kama nyinyi ..nyinyi mmeshindwa kuleta maandiko iwe ni Qurani au hadithi au Sunnah kuwa uislamu una kadhehebuHapa huna hoja na mimi nakuenjoy tu maana najua nikianza kutaka maandiko utaanza kulia maana umezoea kujitungia kutoka kichwani
Kwani mimi nilikuambia kuwa Uislamu una madhehebuMaan
Diko naweza kukuletaa kutoka kwa msahafu na biblia zaidi ya 100...mimi sifopoki hovyo kama nyinyi ..nyinyi mmeshindwa kuleta maandiko iwe ni Qurani au hadithi au Sunnah kuwa uislamu una kadhehebu
ππ sasa umeanza kutambua kuwa uislamu mamboleo wa akina adriz FaizaFoxy Malaria 2 Jagina Covax.ni UKAFIRI.. ndani ya msahafu hakuna madhehebu wala Allah wala mitume wake awakuwa na madhehebu wala awakufundisha watu wawe na madhehebu...swali ni wakina nani hao wanao jihita waislamu wa madhehebuni ? Jibu ni aina moja wapo ya makafiriKwani mimi nilikuambia kuwa Uislamu una madhehebu
Toa andiko hilo nioneπ€£
Acha kuzunguka toa maandikoππ sasa umeanza kutambua kuwa uislamu mamboleo wa akina adriz FaizaFoxy Malaria 2 Jagina Covax.ni UKAFIRI.. ndani ya msahafu hakuna madhehebu wala Allah wala mitume wake awakuwa na madhehebu wala awakufundisha watu wawe na madhehebu...swali ni wakina nani hao wanao jihita waislamu wa madhehebuni ? Jibu ni aina moja wapo ya makafiri
Wewe hata madhehebu unajuwa ni kitu gani ? Kazi yako kuingia mitandaoni kukopi chochote kinacho utukana uislamu baadaye unatu tag , labda ndivyo unavyoongozwa na Roho Mtakatifu wenuππ sasa umeanza kutambua kuwa uislamu mamboleo wa akina adriz FaizaFoxy Malaria 2 Jagina Covax.ni UKAFIRI.. ndani ya msahafu hakuna madhehebu wala Allah wala mitume wake awakuwa na madhehebu wala awakufundisha watu wawe na madhehebu...swali ni wakina nani hao wanao jihita waislamu wa madhehebuni ? Jibu ni aina moja wapo ya makafiri