Kibu analeta sanaa ya mpira kama walifanya wakina Fei na Dube, Simba wajiandae kwa lolote

Kibu analeta sanaa ya mpira kama walifanya wakina Fei na Dube, Simba wajiandae kwa lolote

Fei alianza mkashabikia weeeee ! MKAMCHANGIA MPAKA PESA YA KESI ! Akaja Dube na sasa Kibu ndo mjue karma is a bitch ! Shenz taip
Hakuna cha Karma. Mpira ni maslahi kwa mchezaji. Binafsi namsapoti mchezaji akiona kuna namna ya kuongeza kipato chake. Lifetime ya kutengeneza pesa ni 10yrs. Fei alikuwa sahihi kabisa kupigania kipato chake, kibu nae kama anaona ana hiyo fursa apambane. Kina try again na Hersi wao wanajua wanapopata pesa, shabiki furaha yake matokeo mazuri, mchezaji yeye ni pesa.
 
Zimbwe si ndio mashabiki wanamuandama anachomesha!?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Juzi katoka Boko halafu kajifanya anatumia.
Simba yote imeoza na kuporomoka,huo ndio ukweli mchungu, hakuna mchezaji mwenye afadhali, mi siamini katika kumshambulia Tshabalala kama vile anacheza peke yake uwanjani.

Simba ilipofikia kama paka, sasa ifumuliwe yote kuanzia viongozi waondoke, wachezaji waondoke na pia mashabiki waje wengine, hawa ambao wameisusa timu wakati huu inapitia wakati mgumu hawafai!!

Kwasasa Simba iazime mashabiki wa Yanga wanaopiga kelele timu ifunge au ifungwe kama monkeys na wasichokijua simba hizo kelele wanazozidhihaki ndio siri ya ushindi Yanga maana huwapa mzuka wachezaji wakajituma na kushinda kila mechi
Simba haijawahi kuwa na shida ya mashabiki, tatizo la Simba ni mwekezaji na bodi yake
Wanatakiwa kuongezeka ni wanachama waliopo wengi wamechoka kiakili.
 
Kama ameona maslahi zaidi mahali aachwe aende zake.
Wachezaji ni wa kupita tu.
 
Huyu anawaseti mjae kama kipindi kile Cha zimbwe alivyowaseti anagombaniwa na club za south, mkampa mkataba mkubwa, ndo anachofanya kibu

Hebu nitajie timu yenye hadhi ya Simba ambao wanaweza mchukua kibu akaingia kwenye kikosi Chao?


Alafu acha kumfananisha kibu na callibre za kina fei na dube sawa??


Huyu kibu tangu msimu uanze kafunga goli Moja tena kwenye mechi ya 5-1...
Imagine kwenye msitu wa magori wa 5-1 anaebuk mwanaume mmoja anachomoa gori la machozi unafkir uyo ni mwanaume wa mchezo akiwaacha mbali kina chama na wengine
 
Imagine kwenye msitu wa magori wa 5-1 anaebuk mwanaume mmoja anachomoa gori la machozi unafkir uyo ni mwanaume wa mchezo akiwaacha mbali kina chama na wengine
Huo ndo usanii wenyewe mkuu.
 
Back
Top Bottom