Kibu analeta sanaa ya mpira kama walifanya wakina Fei na Dube, Simba wajiandae kwa lolote

Fei alianza mkashabikia weeeee ! MKAMCHANGIA MPAKA PESA YA KESI ! Akaja Dube na sasa Kibu ndo mjue karma is a bitch ! Shenz taip
Hakuna cha Karma. Mpira ni maslahi kwa mchezaji. Binafsi namsapoti mchezaji akiona kuna namna ya kuongeza kipato chake. Lifetime ya kutengeneza pesa ni 10yrs. Fei alikuwa sahihi kabisa kupigania kipato chake, kibu nae kama anaona ana hiyo fursa apambane. Kina try again na Hersi wao wanajua wanapopata pesa, shabiki furaha yake matokeo mazuri, mchezaji yeye ni pesa.
 
Zimbwe si ndio mashabiki wanamuandama anachomesha!?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Juzi katoka Boko halafu kajifanya anatumia.
Simba haijawahi kuwa na shida ya mashabiki, tatizo la Simba ni mwekezaji na bodi yake
Wanatakiwa kuongezeka ni wanachama waliopo wengi wamechoka kiakili.
 
Kama ameona maslahi zaidi mahali aachwe aende zake.
Wachezaji ni wa kupita tu.
 
Imagine kwenye msitu wa magori wa 5-1 anaebuk mwanaume mmoja anachomoa gori la machozi unafkir uyo ni mwanaume wa mchezo akiwaacha mbali kina chama na wengine
 
Imagine kwenye msitu wa magori wa 5-1 anaebuk mwanaume mmoja anachomoa gori la machozi unafkir uyo ni mwanaume wa mchezo akiwaacha mbali kina chama na wengine
Huo ndo usanii wenyewe mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…