Kibu arudisha pesa za kwenye account ya Simba

Anarudisha pesa kama simba walinunua vitumbua kwake?

Hivi huko kwenye soka si kuna sheria na kanuni zake za kuvunja mikataba? Au ukirudisha tu pesa inakuwa umemaliza?
We bibi acha unafiki. Kwa Fei si ulisema aachwe aende anakotaka?? Naye Kibu aachwe, asipangiwe
 
Kama mkataba wake unaruhusu kufanya hivyo hakuna tatizo hata kidogo.

Ndio hapo club zijifunze kuandika mikataba ambayo inasema wazi mtu akitaka kuvunja mkataba anafanya nini
 
Kwenye mkataba kuna kipengele cha kuvunja mkataba, ambacho kinahusisha pesa ndefu, bdio anayolazimika kuilipa kwa sasa sio hiyo aliyolipwa awali.
 
Anarudisha pesa kama simba walinunua vitumbua kwake?

Hivi huko kwenye soka si kuna sheria na kanuni zake za kuvunja mikataba? Au ukirudisha tu pesa inakuwa umemaliza?
Shangazi, nakumbuka kwa Feisal na yanga ulikua upande wa Feisal,hukuuliza ikiwa yanga walinunua visheti kwa Feisal
 
Ndo key player pale ukoloni
 
Shangazi, nakumbuka kwa Feisal na yanga ulikua upande wa Feisal,hukuuliza ikiwa yanga walinunua visheti kwa Feisal
Hata Feisal niliuliza sababu zake na kanuni za soka zinasemaje.

Kumbuka mimi ni Muislam nafundishwa haki daima siyo porojo. Hata hili la kibu kama umenisoma juu huko nimeuliza sheria ziko vipi, au umekurupuka bila kuusoma uzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…