Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kwa sababu ya Kibu huyu au mwingine?Makolo yanaruka na kukanyagana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu ya Kibu huyu au mwingine?Makolo yanaruka na kukanyagana
Sio kweli mkuu.Mipango yote imeanizia hapa na msukaji ni Hersi Said.
Mkataba wa Mpira au Ajira sio sawa na kuuzia gari au mbuzi kwamba ukishindwa kupata gari analohitaji Mteja unamrudishua pesa yake na inakubalika kwenye mpira mnatakiwa mkae muone mlikubaliana vip yeyote atakaeshindwa kwenda na makubaliano anatakiwa alipie gharama ndio maana kesi za wachezaji na Timu CAS ndio wanahusika na sio mahakama zetu za kisutu..Mkuu Scars ebu tupe ufafanuzi hapa,kibu ndio kishavunja mkataba hapa bado,maana ndio yale yale feisal uliedai exit clause ni kurudisha pesa tu
Leo umenichekesha sana Magoma kakosea tena🤣🤣🤣=kulu-juan.
Yule mshamba magoma hajuwi kutamka Kiarabu.
TFF walikaa kimyaa!Ni kweli mkuu
Upo sawa kabisa, unless kiasi cha pesa kilichowekwa si sahihi.Kulingana na maelezo yenu ya awali (refer suala la Fei), ameshatimiza kwa kuwarudishia hela yenu yote na mshahara wa mwezi mmoja. The same same kama Fei. Hivyo, mapaswa kumwacha aendelee na utaratibu mwingine kama mlivyosema kwa Fei.
Akili za kuzaliwa hawana, shule hakuna, hata kugoogle wanashindwa, waliowazunguka ni chawa, hawapingi.Hela za Mkataba zinarudi bila makubaliano mengine tena..hawa jamaa nani anawadanganya kufanya hivi kama kweli atakua karudisha hela bila kukaa mezani kafanya mambo ya kiboya sana..
Swali je, mkataba ndio ulisema hivyo, kwa fei kulikuwa na kipengele hicho.Kulingana na maelezo yenu ya awali (refer suala la Fei), ameshatimiza kwa kuwarudishia hela yenu yote na mshahara wa mwezi mmoja. The same same kama Fei. Hivyo, mapaswa kumwacha aendelee na utaratibu mwingine kama mlivyosema kwa Fei.
Hii ina tofauti gani na tulivyokua tunasema kwa fei ila makolo mkawa amuelewiFrom Wikipedia, the free encyclopedia
A buyout clause or release clause refers to a clause in a contract that imposes an obligation on another organisation wishing to acquire the services of the employee under contract to pay the (usually substantial) fee of the clause to the organisation which issued the contract and currently employs the employee.
It is most commonly used in reference to sports teams, where a transfer fee is usually paid for a player under contract; however, the current owning club is not obliged to sell their player, and if an agreement on a suitable fee cannot be reached, the buying club can instead resort to paying the player's buyout fee – should their contract have such a clause – which the owning club cannot block.[1] Buyout clauses are usually set at a higher amount than the player's expected market value. However, on occasion, a player at a smaller club will sign a contract but insist on a low buyout fee to attract bigger clubs if their performances generate interest, which de facto functions as a reservation price set for the selling club.
The aim of this clause is twofold; firstly with its high amount, competing teams are discouraged from attempting to acquire the player if the current club shows no signs of selling them, and secondly it raises any hint to the players not to go through with their contractual commitment.
Kwanini mkuu?Mpira wa bongo wa kiboya sana
Kwanini bwana mkubwa. Fei Toto anawasalimia.Ndio mana huwezi kuona hawa wachezaji wanapata team kubwa Ulaya ambako watapata maslahi zaidi na kujenga maisha yao.Wana ujinga sana.
hawajielewi na kibaya kiwango chao ni cha kawaida sana..
Kibu wewe uwezo wako ni mdogo sana unatakiwa urudi ukachezee kwenu huko Burundi mnakopigana kila siku..
Hii kwa Ulaya habari kama hii sijawahi kuisikiaKwanini mkuu?
Hivi anadhani Simba mbumbuu kiasi hicho, wachezaji wao wote huwafunga na kipengere cha kuvunja mkataba, alichofanya ni utapeli na wizi wa kuaminiwa.Hela za Mkataba zinarudi bila makubaliano mengine tena..hawa jamaa nani anawadanganya kufanya hivi kama kweli atakua karudisha hela bila kukaa mezani kafanya mambo ya kiboya sana..
Hiyo ni general, sasa inategemea na mkataba mahususi umeandikwaje. Mfano KMC walitamka tu sh. 50M kwa Awesu, hawakutamka mambo ya signing fee wala mshahara mmoja au mitatuHii ina tofauti gani na tulivyokua tunasema kwa fei ila makolo mkawa amuelewi