Kibu Denis alipopewa uraia kwa njia ya mlango wa nyuma ilikuwa sawa ila ni kosa kwa Singida Black Stars kufanya kwa wachezaji wake

Kibu Denis alipopewa uraia kwa njia ya mlango wa nyuma ilikuwa sawa ila ni kosa kwa Singida Black Stars kufanya kwa wachezaji wake

Mpigania uhuru wa pili

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
3,380
Reaction score
6,376
Ni wasahaulifu hawa watu rage hakukosea kabisa
 
Attachments

  • Screenshot_20250123-190827_Firefox.jpg
    Screenshot_20250123-190827_Firefox.jpg
    294.5 KB · Views: 4
Kuna watu wanaleta ushabiki wa Simba na Yanga kwenye swala nyeti la uraia, wakati Simba inamsajili Kibu ilimsajili kama mchezaji wa Kitanzania kwani alishachezea Geita na Mbeya City kama Mtanzania. Wakati huo alikuwa amechaguliwa timu ya Taifa hivyo mpaka anapewa uraia Simba haina sehemu yoyote ya kulaumiwa.
 
Washabiki wa simba na viongozi wao ni wasahaulifu sana kibu dennis alipewa uraia kwa mlango wa nyuma tena kwa kauli ya wazuri mkuu lakini hawakulalamika

Leo hii singida black stars wamefanya kilekile walichofanya simba inakua nongwa tuacheni double standards
Ushabiki wa Simba na yanga unazalisha matahira wengi sana
 
Hii fungulia mbwa ina athari kubwa tu huko mbeleni.

Hao wachezaji wenyewe hawana hata potential yoyote kwa nchi hii na hawatokaa waitwe hata timu ya taifa.
 
Washabiki wa simba na viongozi wao ni wasahaulifu sana kibu dennis alipewa uraia kwa mlango wa nyuma tena kwa kauli ya wazuri mkuu lakini hawakulalamika

Leo hii singida black stars wamefanya kilekile walichofanya simba inakua nongwa tuacheni double standardhapo umeanza kuharisha japo mm sio Simba,,ila Kibu amekulia tz japo hajazaliwa tz ,na Sheria zinasema uwe umekaa tz Zaid ya mwaka mmoja mfululizo sasa hao wachezaj hat miezi 2 hawajamalza
 
Simba ndo walivyo. Wakifanya wao wanalazimisha ionekane wana haki zote ila akifanya mwingine wanakuwa wa kwanza kupiga kelele za malalamiko
 
Washabiki wa simba na viongozi wao ni wasahaulifu sana kibu dennis alipewa uraia kwa mlango wa nyuma tena kwa kauli ya wazuri mkuu lakini hawakulalamika

Leo hii singida black stars wamefanya kilekile walichofanya simba inakua nongwa tuacheni double standards

Soma: Rasmi: Kibu Dennis ni Mtanzania

Soma: Idara ya uhamiaji yatoa ufafanuzi dhidi ya wachezaji wa kigeni Singida Black Stars, wote ni raia wa Tanzania kwa Tajnisi
Acha uongo kibu Denis kapewa uraia akiwa mbeya city
 
Kuna watu wanaleta ushabiki wa Simba na Yanga kwenye swala nyeti la uraia, wakati Simba inamsajili Kibu ilimsajili kama mchezaji wa Kitanzania kwani alishachezea Geita na Mbeya City kama Mtanzania. Wakati huo alikuwa amechaguliwa timu ya Taifa hivyo mpaka anapewa uraia Simba haina sehemu yoyote ya kulaumiwa.
Kibu anapewa uraia wakati wa uamisho wake kwenda simba kutoka mbeya city ulikwama kwa ishu za urai mpaka waziri mkuu aliingili kati

Ila wewe sikushangai kama uliibishia video ya wazi ikionyesha mashabiki wa simba wakivunja viti sembuse hili
C5C118FB-B738-4FE9-A32C-4AA0A152C5AB.jpeg
 
Back
Top Bottom