Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
- Thread starter
- #21
Sasa
Simba anaingiaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa
Simba anaingiaje
Huyu hana alijualo, unamlinganishaje Kibu na hao wa SBSKibu alikua na sifa zote, yupo Tz toka akiwa mdogo kabisa.
Hapo unazidi kuonyesha uwezo wako mdogo wa kiakili, nitakujibu Mara ya mwisho usipoelewa ni juu yako. Kibu alivyocheza Geita na Mbeya City alicheza Kama mtanzania au mgeni? Kama alicheza Kama mgeni kwanini alichaguliwa timu ya taifa inaelekea mwalimu wako akipata shida Sana wakati anakufundisha.Kibu anapewa uraia wakati wa uamisho wake kwenda simba kutoka mbeya city ulikwama kwa ishu za urai mpaka waziri mkuu aliingili kati
Ila wewe sikushangai kama uliibishia video ya wazi ikionyesha mashabiki wa simba wakivunja viti sembuse hiliView attachment 3211652
Mara nyingi huwa naskip comments zako kwa sababu nakuchukulia kama mtu usije na hoja na msingi. Naona hata hili dogo umeshindwa kuficha ujinga wakoMbumbumbu ndo walianzisha huu uhuni
Kwani n uongo KIBU ndo alianzisha haya?Mara nyingi huwa naskip comments zako kwa sababu nakuchukulia kama mtu usije na hoja na msingi. Naona hata hili dogo umeshindwa kuficha ujinga wako
Wakati Kibu anaitwa kuichezea timu ya Taifa Kwa mara ya kwanza alikuwa mchezaji Simba?Washabiki wa simba na viongozi wao ni wasahaulifu sana kibu dennis alipewa uraia kwa mlango wa nyuma tena kwa kauli ya wazuri mkuu lakini hawakulalamika
Leo hii singida black stars wamefanya kilekile walichofanya simba inakua nongwa tuacheni double standards
Soma: Rasmi: Kibu Dennis ni Mtanzania
Soma: Idara ya uhamiaji yatoa ufafanuzi dhidi ya wachezaji wa kigeni Singida Black Stars, wote ni raia wa Tanzania kwa Tajnisi
Alicheza kama mgeni mambo ya uraia wa kibu yaliibuliwa alipokuwa anasajiliwa kutoka mbeya kwenda simbaHapo unazidi kuonyesha uwezo wako mdogo wa kiakili, nitakujibu Mara ya mwisho usipoelewa ni juu yako. Kibu alivyocheza Geita na Mbeya City alicheza Kama mtanzania au mgeni? Kama alicheza Kama mgeni kwanini alichaguliwa timu ya taifa inaelekea mwalimu wako akipata shida Sana wakati anakufundisha.
Wakati Kibu anaitwa kuichezea timu ya Taifa Kwa mara ya kwanza alikuwa mchezaji Simba?
Mbumbumbu watabisha
Kwahiyo nyie ndio mpo nyuma ya huu uhuni wa singida black star?Washabiki wa simba na viongozi wao ni wasahaulifu sana kibu dennis alipewa uraia kwa mlango wa nyuma tena kwa kauli ya wazuri mkuu lakini hawakulalamika
Leo hii singida black stars wamefanya kilekile walichofanya simba inakua nongwa tuacheni double standards
Soma: Rasmi: Kibu Dennis ni Mtanzania
Soma: Idara ya uhamiaji yatoa ufafanuzi dhidi ya wachezaji wa kigeni Singida Black Stars, wote ni raia wa Tanzania kwa Tajnisi
Privadinho kwenyr ubora wakoMbumbumbu ndo walianzisha huu uhuni
Na simba imeomba uraia wa nwachezaji wake 9 waje watueleze tenaMimi Yanga ila kwenye hili Simba hawajakosea kwa Kibu, kwani alikua anajulikana ni raia wa Tanzania toka akiwa Geita. Pia ameingia nchini akiwa na umri wa miaka sita.
Unachanganya madaAlicheza kama mgeni mambo ya uraia wa kibu yaliibuliwa alipokuwa anasajiliwa kutoka mbeya kwenda simba
Wewe ndo unauwezo mdogo sababu ulipinga wazi wazi video ikionyesha mashabiki wa simba wakivunja viti kwa hiyo na hili lazima ulipinge
Unachanganya mada
We kiaziAlicheza kama mgeni mambo ya uraia wa kibu yaliibuliwa alipokuwa anasajiliwa kutoka mbeya kwenda simba
Wewe ndo unauwezo mdogo sababu ulipinga wazi wazi video ikionyesha mashabiki wa simba wakivunja viti kwa hiyo na hili lazima ulipinge
We kiazi
Ndiyo maana wanaitwa mbumbumbu.Washabiki wa simba na viongozi wao ni wasahaulifu sana kibu dennis alipewa uraia kwa mlango wa nyuma tena kwa kauli ya wazuri mkuu lakini hawakulalamika
Leo hii singida black stars wamefanya kilekile walichofanya simba inakua nongwa tuacheni double standards
Soma: Rasmi: Kibu Dennis ni Mtanzania
Soma: Idara ya uhamiaji yatoa ufafanuzi dhidi ya wachezaji wa kigeni Singida Black Stars, wote ni raia wa Tanzania kwa Tajnisi