Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We chura mbona unakua empty hivo?Akianza Nazima TV halafu Naitupa Mtaroni Ikaliwe na Vyura.
Hongera mkuu Kwa maoni yako.Wewe mchezaji hajui hata Kupiga Kichwa Mpira....Sisi tumemuona anafaa kwa sababu ana misuli mikubwa mguuni kushinda wakina Iddi Nado.

Kamzidi magoliLeo sikuwa na ratiba ya kutazama mechi ya Taifa Stars dhidi ya Benin. Ila baada ya kusikia watu wakiwa na hamu na shauku ya kumuona Kibu Denis, nikaona nayo ni fursa ya kuweza kumtazama.
Lengo pia ni kutazama ni kipi ambacho Taifa kama Taifa tumekiona kwa Kibu Denis hata tukafikia hatua ya Kugawa Uraia kwake. Ni kheri tungempa uraia Steven Sey (Namungo FC)
Baada ya kufanyika mabadiliko na Mwl Kim Poulsen nikaja kugundua kuwa tumepoteza nafasi ya Uraia kwa mtu asiye na cha ajabu sana katika uchezaji wake wa Mpira.
Hata ukijaribu kuchambua uchezaji wake na takwimu zake kiujumla huoni tofauti kati yake yeye na Ditram Nchimbi.
Nilicho kuja gundua kingine ni kuwa mshawasha uliopo machoni pa watanzani kuhusu Kibu Denis unatokana na uhalisia kuwa watanzania wengi hawajawahi kushuhudia jitu lenye miraba saba likiichezea timu yao ya Taifa, hivyo wakadhani wamejiokotea Lukaku Wao.
Kiuhalisia uwepo wa Kibu Denis kwenye Timu ya Taifa ya Tanzania kunapunguza hamasa na ladha ya Ushindi. Maana mara nyingi anaonekana akikosa basic skills kama vile Kupokea Mipira, Anticipation, Ball Control, Tactical Decisions.
Nadhani kama tusinge muingiza Kibu Denis kwenye mechi ya leo basi Taifa Stars tungepata Ushindi.
Sioni Taifa Stars ikipata matokeo ya Ushindi endapo Kibu Denis anahusika kwenye mechi.
Unajua hata nchimbi alikua anafunga sana alipokua polisi TanzaniaUjinga upi ,takwimu za Nchimbi yanga ana magoli mangapi msimu mzima na Kibu ana magoli mangapi na mbeya city ?
Wewe ni moja watu wasioona jbo jema kwa wenzao. Basi ungeingia wewe ukachezaLeo sikuwa na ratiba ya kutazama mechi ya Taifa Stars dhidi ya Benin. Ila baada ya kusikia watu wakiwa na hamu na shauku ya kumuona Kibu Denis, nikaona nayo ni fursa ya kuweza kumtazama.
Lengo pia ni kutazama ni kipi ambacho Taifa kama Taifa tumekiona kwa Kibu Denis hata tukafikia hatua ya Kugawa Uraia kwake. Ni kheri tungempa uraia Steven Sey (Namungo FC)
Baada ya kufanyika mabadiliko na Mwl Kim Poulsen nikaja kugundua kuwa tumepoteza nafasi ya Uraia kwa mtu asiye na cha ajabu sana katika uchezaji wake wa Mpira.
Hata ukijaribu kuchambua uchezaji wake na takwimu zake kiujumla huoni tofauti kati yake yeye na Ditram Nchimbi.
Nilicho kuja gundua kingine ni kuwa mshawasha uliopo machoni pa watanzani kuhusu Kibu Denis unatokana na uhalisia kuwa watanzania wengi hawajawahi kushuhudia jitu lenye miraba saba likiichezea timu yao ya Taifa, hivyo wakadhani wamejiokotea Lukaku Wao.
Kiuhalisia uwepo wa Kibu Denis kwenye Timu ya Taifa ya Tanzania kunapunguza hamasa na ladha ya Ushindi. Maana mara nyingi anaonekana akikosa basic skills kama vile Kupokea Mipira, Anticipation, Ball Control, Tactical Decisions.
Nadhani kama tusinge muingiza Kibu Denis kwenye mechi ya leo basi Taifa Stars tungepata Ushindi.
Sioni Taifa Stars ikipata matokeo ya Ushindi endapo Kibu Denis anahusika kwenye mechi.
tofauti yao ni rasta tuuLeo sikuwa na ratiba ya kutazama mechi ya Taifa Stars dhidi ya Benin. Ila baada ya kusikia watu wakiwa na hamu na shauku ya kumuona Kibu Denis, nikaona nayo ni fursa ya kuweza kumtazama.
Lengo pia ni kutazama ni kipi ambacho Taifa kama Taifa tumekiona kwa Kibu Denis hata tukafikia hatua ya Kugawa Uraia kwake. Ni kheri tungempa uraia Steven Sey (Namungo FC)
Baada ya kufanyika mabadiliko na Mwl Kim Poulsen nikaja kugundua kuwa tumepoteza nafasi ya Uraia kwa mtu asiye na cha ajabu sana katika uchezaji wake wa Mpira.
Hata ukijaribu kuchambua uchezaji wake na takwimu zake kiujumla huoni tofauti kati yake yeye na Ditram Nchimbi.
Nilicho kuja gundua kingine ni kuwa mshawasha uliopo machoni pa watanzani kuhusu Kibu Denis unatokana na uhalisia kuwa watanzania wengi hawajawahi kushuhudia jitu lenye miraba saba likiichezea timu yao ya Taifa, hivyo wakadhani wamejiokotea Lukaku Wao.
Kiuhalisia uwepo wa Kibu Denis kwenye Timu ya Taifa ya Tanzania kunapunguza hamasa na ladha ya Ushindi. Maana mara nyingi anaonekana akikosa basic skills kama vile Kupokea Mipira, Anticipation, Ball Control, Tactical Decisions.
Nadhani kama tusinge muingiza Kibu Denis kwenye mechi ya leo basi Taifa Stars tungepata Ushindi.
Sioni Taifa Stars ikipata matokeo ya Ushindi endapo Kibu Denis anahusika kwenye mechi.
mzuka tu, ngoja akianza kuwap mashuti ya nje ya 18Mbona alikuwa ana ruka ruka kama bisi za msibani?