utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Mzee Kibu ni mtu na nusu.. [emoji881] guvu mojaKibu huyu huyu kweli uchawi upo
Nguvu moja
Mie mwenyewe naona kabisa jamaa kamati yake ya kiufundi Ipo makini sana.Kibu huyu huyu kweli uchawi upo
Nguvu moja
Pastor muombee hilo pepo limtoke akirudi aanze kushindana na kina Phiri na Mayelle kule juu kwenye mbio za kiatu cha dhahabu..Shida ya Kibu inaanzia kwenye jina lake lipo kinyumenyume mana Kibu linaonyesha kama linatakiwa kuwa surname. Inasound kama linatakiwa kuwa Denis Kibu.
Pili kuna uzi juzijuzi nilisema Kibu ni mchezaji mzuri ambaye nadhani anapitia changamoto za kisaikolojia au kiroho. Haihitaji akili kubwa kuliona hilo.
Angalia Post # 5 katika Uzi huu
Hizi ndizo changamoto za kocha mpya sasa sijajua kama mashabiki wa Simba kama watamvumilia kocha,hapo unaweza ukakuta akaunda mfumo wake mwengine.
Man like Kibu🤣🤣🤣🤣
Ndicho tunacho enda kukiona.Hapo mnaweza shangazwa yule mchezaji mnaeona star akapigwa bench
sasa kwenye mechi za ushindani Kibu anafeli wapi,mpaka sasa Kibu alitakiwa awe na magoli zaidi ya nane au tisa lakini akipata nafasi anakosa,au ndo anapigwa misumari ya bati?
Ushuzi baridi huu