Kibu Denis atafute fani nyingine, mpira wa miguu hauwezi

Gape la point 2? Safari hii hatuchezi mbali na hz mbili wakizubaa tunawashusha. Hata wakishinda hiko kiporo chao itakua 29 na sisi mchezo mwingie 27.
Umezidi point moja na michezo miwili, akishinda gape ni point 5
 
Dona fc vip mnapataje uwezo wa kujadili mambo ya mpira kwa kipindi hiki na kashfa nzito sana
 
Mi sipendi kuwakatisha tamaa wachezaji ila kwakweli kibu kama hajifunzi ni bora apumzike.
[emoji1787][emoji1787] kwenye mpira huwa unachangia utadhani una leseni ya ukocha daraja c kbsaa ..hongera pia
 
Huyu jamaa imefika wakati sasa ajiongeze kwa kujifunza fani nyingine maana mpira wa miguu umemshinda.

Hana akili ya mpira na muda wote anaangalia chini. Hata akiachwa na goli wazi hana uwezo wa kufunga.
sijawahi kumkubali huyu jamaa. mimi watu wanaotumia nguvu bila akili huwa nawadharau kwasababu mimi ni muumini wa akili, nguvu baadaye.
 
Simba hampati matokeo sababu ni Chama hayupo ngojea arudi, mechi tatu magoli yenu mmefunga kwa kutumia nguvu sana,Singida mbio za banda, Juzi shuti la sako leo tena imepigwa ndefu ikamfikia Zimbwe akasist.

Akiwa Chama magoli yenu mengi yanakuwa easy sababu Chama ana vision na anajua njia za magoli.
 
Toka siku yakwanza wanamsajili nilijua tumepigwa lakini ngoja tujaze pengo wacheza kimataifa ,hakuna mtu pale
 
Huyu jamaa imefika wakati sasa ajiongeze kwa kujifunza fani nyingine maana mpira wa miguu umemshinda.

Hana akili ya mpira na muda wote anaangalia chini. Hata akiachwa na goli wazi hana uwezo wa kufunga.
Kibu aende zake mbeya city atafanya makubwa kule
 
Mmeshindwa kujibeba nyie wenyewe mmebaki kuomba wengine wawabebe ndio hatua mliyofikia? Kweli kazi mnayo
 
Mkuu utakuwa unaota ndoto ya mchana mweupe yaani Singida big star anampa point 6 utopolo fc bila kupepesa macho yaani raundi hii ya kwanza na ya pili pia,japo ni timu ya hapa nyumbani lkn ukweli ndio huo
Kama ambavyo Namungo anavyompa kolowizad point zote pia, tokea Namungo apande daraja ajawai kuifunga simba ni sare na kupigwa kwakuwa ni dugu moyaa,,,,
 
Sioni neno lenye sahihi la kumpa Mtu aliyewafungia Chama na Aziz Ki mwezi mzima Kwa kosa la kitoto kama lile wakati kuna Wachezaji wanafanya ujinga mkubwa na kupewa adhabu ndogo. Unamfungia Chama Mechi 3, unamuonuesha Mtenje Ramadhan Kadi ya njano tu anaendelea na ligi. Unamfungia Chama Mechi 3 Sawa na Nyoso aliyetaka kumvunja mgongo Kipre Jr? Mahakama gani hii inahukumu mshitakiwa aliyejeruhi Kwa kisu Sawa na aliyetukana matusi?
Kuhusu Kibu ni mchezaji mwenye faida tatu hivi, Msumbufu, Msaidizi wa Ulinzi na anajua kujiposition. Tatizo liko kwenye finishing tu.
Mechi ya Singida Vs Yanga wewe zidisha maombi. Lakini kauli yangu inabaki ileile baada ya kuiona Singida Mechi 3 za awali nilisema bado ni timu ya katikati mwa msimamo, yaani ni Geita Gold ya 2021 Kwa hiyo usiitegemee Sana na ikifungwa usije hapa na maneno ya wasiojua soka sijui wamewaachia ndugu zào sijui wamecheza kizembe makusudi, hao ni wenzetu wa kawaida saaana.
 
Huu ni ujinga wa kiwango cha Lami. Badala upambane upate chako..unakaa unaombea jiran akusaidie majukumu Yako...
 
Ngada zimemuharibu, na kocha ndo pusha aka punda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…