Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umezidi point moja na michezo miwili, akishinda gape ni point 5Gape la point 2? Safari hii hatuchezi mbali na hz mbili wakizubaa tunawashusha. Hata wakishinda hiko kiporo chao itakua 29 na sisi mchezo mwingie 27.
Unaota we mdada amka usijikojoleeGape la point 2? Safari hii hatuchezi mbali na hz mbili wakizubaa tunawashusha. Hata wakishinda hiko kiporo chao itakua 29 na sisi mchezo mwingie 27.
Dona fc vip mnapataje uwezo wa kujadili mambo ya mpira kwa kipindi hiki na kashfa nzito sanaAngekuwepo Chama nadhani Mgunda anhechezesha single Striker
Nimeona tangu Chama apatwe na adhabu, Mgunda amekuwa akilazimika kuchezesha washambuliaji wawili
Na kwa bahati mbaya Kibu amekuwa na bahati ya kukutana na mipira katika eneo zuri la kufunga ila ndio hivyo mchizi ame flop yani katepeta
Simba kwasasa lazima tukubaliane kwamba haina kikosi kipana, licha ya usajili lakini wachezaji wengi hawachezi na hiyo ni kutokana na uwezo walio nao sio wa kumridhisha mwalimu
Anyway points 3 kibindoni na sasa kilichobaki ni dua zetu kwa Singida atusaidie kupunguza gape la point kwa mpinzani wetu
[emoji1787][emoji1787] kwenye mpira huwa unachangia utadhani una leseni ya ukocha daraja c kbsaa ..hongera piaMi sipendi kuwakatisha tamaa wachezaji ila kwakweli kibu kama hajifunzi ni bora apumzike.
sijawahi kumkubali huyu jamaa. mimi watu wanaotumia nguvu bila akili huwa nawadharau kwasababu mimi ni muumini wa akili, nguvu baadaye.Huyu jamaa imefika wakati sasa ajiongeze kwa kujifunza fani nyingine maana mpira wa miguu umemshinda.
Hana akili ya mpira na muda wote anaangalia chini. Hata akiachwa na goli wazi hana uwezo wa kufunga.
Kibu aende zake mbeya city atafanya makubwa kuleHuyu jamaa imefika wakati sasa ajiongeze kwa kujifunza fani nyingine maana mpira wa miguu umemshinda.
Hana akili ya mpira na muda wote anaangalia chini. Hata akiachwa na goli wazi hana uwezo wa kufunga.
[emoji23][emoji23]ligi imeisha endeleeni kusubiriGape la point 2? Safari hii hatuchezi mbali na hz mbili wakizubaa tunawashusha. Hata wakishinda hiko kiporo chao itakua 29 na sisi mchezo mwingie 27.
Mmeshindwa kujibeba nyie wenyewe mmebaki kuomba wengine wawabebe ndio hatua mliyofikia? Kweli kazi mnayoAngekuwepo Chama nadhani Mgunda anhechezesha single Striker
Nimeona tangu Chama apatwe na adhabu, Mgunda amekuwa akilazimika kuchezesha washambuliaji wawili
Na kwa bahati mbaya Kibu amekuwa na bahati ya kukutana na mipira katika eneo zuri la kufunga ila ndio hivyo mchizi ame flop yani katepeta
Simba kwasasa lazima tukubaliane kwamba haina kikosi kipana, licha ya usajili lakini wachezaji wengi hawachezi na hiyo ni kutokana na uwezo walio nao sio wa kumridhisha mwalimu
Anyway points 3 kibindoni na sasa kilichobaki ni dua zetu kwa Singida atusaidie kupunguza gape la point kwa mpinzani wetu
Kama ambavyo Namungo anavyompa kolowizad point zote pia, tokea Namungo apande daraja ajawai kuifunga simba ni sare na kupigwa kwakuwa ni dugu moyaa,,,,Mkuu utakuwa unaota ndoto ya mchana mweupe yaani Singida big star anampa point 6 utopolo fc bila kupepesa macho yaani raundi hii ya kwanza na ya pili pia,japo ni timu ya hapa nyumbani lkn ukweli ndio huo
Sioni neno lenye sahihi la kumpa Mtu aliyewafungia Chama na Aziz Ki mwezi mzima Kwa kosa la kitoto kama lile wakati kuna Wachezaji wanafanya ujinga mkubwa na kupewa adhabu ndogo. Unamfungia Chama Mechi 3, unamuonuesha Mtenje Ramadhan Kadi ya njano tu anaendelea na ligi. Unamfungia Chama Mechi 3 Sawa na Nyoso aliyetaka kumvunja mgongo Kipre Jr? Mahakama gani hii inahukumu mshitakiwa aliyejeruhi Kwa kisu Sawa na aliyetukana matusi?Angekuwepo Chama nadhani Mgunda anhechezesha single Striker
Nimeona tangu Chama apatwe na adhabu, Mgunda amekuwa akilazimika kuchezesha washambuliaji wawili
Na kwa bahati mbaya Kibu amekuwa na bahati ya kukutana na mipira katika eneo zuri la kufunga ila ndio hivyo mchizi ame flop yani katepeta
Simba kwasasa lazima tukubaliane kwamba haina kikosi kipana, licha ya usajili lakini wachezaji wengi hawachezi na hiyo ni kutokana na uwezo walio nao sio wa kumridhisha mwalimu
Anyway points 3 kibindoni na sasa kilichobaki ni dua zetu kwa Singida atusaidie kupunguza gape la point kwa mpinzani wetu
Huu ni ujinga wa kiwango cha Lami. Badala upambane upate chako..unakaa unaombea jiran akusaidie majukumu Yako...Angekuwepo Chama nadhani Mgunda anhechezesha single Striker