Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Kama ilivyokuwa TOTO ya Mwanza! Kazi yake ilikuwa kumpa Yanga pointi 6, na kisha kumng'ang'ania Simba apoteze pointi kupitia kwao!Mkuu utakuwa unaota ndoto ya mchana mweupe yaani Singida big star anampa point 6 utopolo fc bila kupepesa macho yaani raundi hii ya kwanza na ya pili pia,japo ni timu ya hapa nyumbani lkn ukweli ndio huo
Winga teleza jana, leo hana jema?Huyu jamaa imefika wakati sasa ajiongeze kwa kujifunza fani nyingine maana mpira wa miguu umemshinda.
Hana akili ya mpira na muda wote anaangalia chini. Hata akiachwa na goli wazi hana uwezo wa kufunga.
Aheri hata ya Sarpong au YikpeHuyu jamaa imefika wakati sasa ajiongeze kwa kujifunza fani nyingine maana mpira wa miguu umemshinda.
Hana akili ya mpira na muda wote anaangalia chini. Hata akiachwa na goli wazi hana uwezo wa kufunga.
Kashfa zipi ofsa?Dona fc vip mnapataje uwezo wa kujadili mambo ya mpira kwa kipindi hiki na kashfa nzito sana
Imeish kivipi[emoji23][emoji23]ligi imeisha endeleeni kusubiri
Endelea kunisoma una la kujifunza 😀 😀[emoji1787][emoji1787] kwenye mpira huwa unachangia utadhani una leseni ya ukocha daraja c kbsaa ..hongera pia
Ww angalia usijinyee kabisa.Unaota we mdada amka usijikojolee
Nyie machoko fc Kabwili milango waziDona fc vip mnapataje uwezo wa kujadili mambo ya mpira kwa kipindi hiki na kashfa nzito sana
Jamaa msumari umekubali kwelikweliHuyu jamaa imefika wakati sasa ajiongeze kwa kujifunza fani nyingine maana mpira wa miguu umemshinda.
Hana akili ya mpira na muda wote anaangalia chini. Hata akiachwa na goli wazi hana uwezo wa kufunga.
Mnategemea mtakuja kuongoza ligi tena? never ever mlijichangaywa wenyewe huu ubingwa ni wa Azam FC au YangaImeish kivipi
Kila mmoja ashinde mechi zake kwa manufaa yake kama mnataka kupunguza gap la point na uyo mpinzani wenu wakati mzuri ni kumfunga nyie wenyewe mtakapokutanaAngekuwepo Chama nadhani Mgunda anhechezesha single Striker
Nimeona tangu Chama apatwe na adhabu, Mgunda amekuwa akilazimika kuchezesha washambuliaji wawili
Na kwa bahati mbaya Kibu amekuwa na bahati ya kukutana na mipira katika eneo zuri la kufunga ila ndio hivyo mchizi ame flop yani katepeta
Simba kwasasa lazima tukubaliane kwamba haina kikosi kipana, licha ya usajili lakini wachezaji wengi hawachezi na hiyo ni kutokana na uwezo walio nao sio wa kumridhisha mwalimu
Anyway points 3 kibindoni na sasa kilichobaki ni dua zetu kwa Singida atusaidie kupunguza gape la point kwa mpinzani wetu
Huyu jamaa alichelewa kuingia jana., angeingia mapema uenda tungesikia tena zile kelele za "matola out"Tunamwomba, Lusajo Dirisha dogo.
Yanga ana mechi mbili mkononi akishinda zote anakuacha point 5Gape la point 2? Safari hii hatuchezi mbali na hz mbili wakizubaa tunawashusha. Hata wakishinda hiko kiporo chao itakua 29 na sisi mchezo mwingie 27.
Mpira haupo ivyoMkuu utakuwa unaota ndoto ya mchana mweupe yaani Singida big star anampa point 6 utopolo fc bila kupepesa macho yaani raundi hii ya kwanza na ya pili pia,japo ni timu ya hapa nyumbani lkn ukweli ndio huo
Na simba asipokua makini hata top 3 anaweza asiingieMnategemea mtakuja kuongoza ligi tena? never ever mlijichangaywa wenyewe huu ubingwa ni wa Azam FC au Yanga
Ifike hatua mkubali kwamba yanga ana quality players na kikosi kipana na pia ana mentality ya ushindi kikubwa zaidi anaweza kushinda hata siku ambayo akucheza vizuri wapinzani nao wanaingia uwanjani kusaka point lakini mwisho wa siku quality na mentality ya wachezaji inaamua matokeo kama yanga inafungika kirahisi na hawa wapinzani wanagawa point makusudi kwa yanga basi nyie onesheni mfano wa kumfunga uyo yanga mtakapokutanaMkuu utakuwa unaota ndoto ya mchana mweupe yaani Singida big star anampa point 6 utopolo fc bila kupepesa macho yaani raundi hii ya kwanza na ya pili pia,japo ni timu ya hapa nyumbani lkn ukweli ndio huo