Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
SawaMnategemea mtakuja kuongoza ligi tena? never ever mlijichangaywa wenyewe huu ubingwa ni wa Azam FC au Yanga
Maelekezo at workHuyu jamaa alichelewa kuingia jana., angeingia mapema uenda tungesikia tena zile kelele za "matola out"
Angekuwepo Chama nadhani Mgunda anhechezesha single Striker
Nimeona tangu Chama apatwe na adhabu, Mgunda amekuwa akilazimika kuchezesha washambuliaji wawili
Na kwa bahati mbaya Kibu amekuwa na bahati ya kukutana na mipira katika eneo zuri la kufunga ila ndio hivyo mchizi ame flop yani katepeta
Simba kwasasa lazima tukubaliane kwamba haina kikosi kipana, licha ya usajili lakini wachezaji wengi hawachezi na hiyo ni kutokana na uwezo walio nao sio wa kumridhisha mwalimu
Anyway points 3 kibindoni na sasa kilichobaki ni dua zetu kwa Singida atusaidie kupunguza gape la point kwa mpinzani wetu
Mzaramo wa Simba na Kay mziwanda nimewasikia maoni yao kupitia Sports HQKwa sasa ni kweli Simba haina kikosi kipana nahilo liko wazi. Shabiki ndakindani Mzaramo, K Mziwanda, AggySimba na Pasi Million wameanua kuwa wakweli kwa kutema nyongo hasa! Kama Simba ina Mkataba wa 26bn/- kwa nini wanabana sana pesa? Ni nani anabana na kufanya usajili ambao ulikua chini sana? Nje ya kikosi cha kwanza. simba haina Sub inayoeleweka wala super sub wa kuja kubadilisha mchezo. Simba ikitanguliwa kufungwa haiwezi kurudisha na kushinda mechi yoyote.
Na simba asipokua makini hata top 3 anaweza asiingie
Nafikiri Simba afanye usajili mzuri ktk dirisha dogo, la sivyo hata ile hatua ya kufika robo hatoweza kufika awamu hii bali ni aibu nzito anaweza kukutana nayo.Angekuwepo Chama nadhani Mgunda anhechezesha single Striker
Nimeona tangu Chama apatwe na adhabu, Mgunda amekuwa akilazimika kuchezesha washambuliaji wawili
Na kwa bahati mbaya Kibu amekuwa na bahati ya kukutana na mipira katika eneo zuri la kufunga ila ndio hivyo mchizi ame flop yani katepeta
Simba kwasasa lazima tukubaliane kwamba haina kikosi kipana, licha ya usajili lakini wachezaji wengi hawachezi na hiyo ni kutokana na uwezo walio nao sio wa kumridhisha mwalimu
Anyway points 3 kibindoni na sasa kilichobaki ni dua zetu kwa Singida atusaidie kupunguza gape la point kwa mpinzani wetu
Kuna tetesi ya Luis Miquison na Manzoki kutua dirisha dogoNafikiri Simba afanye usajili mzuri ktk dirisha dogo, la sivyo hata ile hatua ya kufika robo hatoweza kufika awamu hii bali ni aibu nzito anaweza kukutana nayo.
Watasaidia sanaKuna tetesi ya Luis Miquison na Manzoki kutua dirisha dogo
Ni sahihi kusema kwamba, kiwango chake kimeshuka, ila sahihi kusema kwamba, hauwezi mpira! Hiyo itakuwa hali ya mhemuko! Let me declare, mimi ni Yanga, ila, kiwango cha mchazaji uwanjani kinaathiriwa na mambo mengi, aidha, Timu zetu kubwa huwa hazina mda wa kukuvumilia wao wanataka matokeo ya papo na haraka! Ukisema kwamba, hauwezi mpira, unamaanisha mlisajili muimbaji?Huyu jamaa imefika wakati sasa ajiongeze kwa kujifunza fani nyingine maana mpira wa miguu umemshinda.
Hana akili ya mpira na muda wote anaangalia chini. Hata akiachwa na goli wazi hana uwezo wa kufunga.
Hizi tetesi hazina ukweli mkuuKuna tetesi ya Luis Miquison na Manzoki kutua dirisha dogo
Sawa wacha tuache muda uamue tuone itakavyo kuaHizi tetesi hazina ukweli mkuu
Kibu hana akili ya mpira, huo ndio ukweli, hawezi kufanikiwa kwenye soka labda ajaribu kitu kingine. Anatumia nguvu nyingi sana bila akili. Hamna kiwango kilichoshuka kwasababu hajawahi kuwa na kiwango chochote cha maana.Ni sahihi kusema kwamba, kiwango chake kimeshuka, ila sahihi kusema kwamba, hauwezi mpira! Hiyo itakuwa hali ya mhemuko! Let me declare, mimi ni Yanga, ila, kiwango cha mchazaji uwanjani kinaathiriwa na mambo mengi, aidha, Timu zetu kubwa huwa hazina mda wa kukuvumilia wao wanataka matokeo ya papo na haraka! Ukisema kwamba, hauwezi mpira, unamaanisha mlisajili muimbaji?
All in all, Simba mnahitaji kufanya usajili wenye tija.
Kuna tetesi ya Luis Miquison na Manzoki kutua dirisha dogo
Manzoki anaweza asicheze kwasababu hayupo kwenye league za AfricaWatacheza klabu bingwa makundi ?
Anatumia sana Ngada huyo msameheHumu ndani kuna shabiki wa Simba kindakindaki aliwahi kumpambanisha Kibu na Mayele, jamaa anaitwa Okwi Boban Sunzu, kitu kama hiko. Kipindi hiko kibu alikuwa na magoli sijui matatu vile sijui matano na Mayele hakuwa na goli.
Leo hii sijui atauweka wapi uso wake.