Kibu Denis atafute fani nyingine, mpira wa miguu hauwezi

Angekuwepo Chama nadhani Mgunda anhechezesha single Striker

Nimeona tangu Chama apatwe na adhabu, Mgunda amekuwa akilazimika kuchezesha washambuliaji wawili

Na kwa bahati mbaya Kibu amekuwa na bahati ya kukutana na mipira katika eneo zuri la kufunga ila ndio hivyo mchizi ame flop yani katepeta

Simba kwasasa lazima tukubaliane kwamba haina kikosi kipana, licha ya usajili lakini wachezaji wengi hawachezi na hiyo ni kutokana na uwezo walio nao sio wa kumridhisha mwalimu

Anyway points 3 kibindoni na sasa kilichobaki ni dua zetu kwa Singida atusaidie kupunguza gape la point kwa mpinzani wetu

Kwa sasa ni kweli Simba haina kikosi kipana nahilo liko wazi. Shabiki ndakindani Mzaramo, K Mziwanda, AggySimba na Pasi Million wameanua kuwa wakweli kwa kutema nyongo hasa! Kama Simba ina Mkataba wa 26bn/- kwa nini wanabana sana pesa? Ni nani anabana na kufanya usajili ambao ulikua chini sana? Nje ya kikosi cha kwanza. simba haina Sub inayoeleweka wala super sub wa kuja kubadilisha mchezo. Simba ikitanguliwa kufungwa haiwezi kurudisha na kushinda mechi yoyote.
 
Mzaramo wa Simba na Kay mziwanda nimewasikia maoni yao kupitia Sports HQ

Kuhusu usajili naona sehemu ambayo Simba walifeli ilikuwa kwenye Manzoki ila huu usajili mwingine kumbuka ulifanywa kwa idhini ya Zolan

Japo kuna wachezaji ambao Zolan tayari waliwakuta ila kumbuka hata hao aliowahitaji Zolan bado hawana performance ya kuridhisha mfano Outtara

Kuna tetesi kiwa Miquison anatua dirieha dogo pamoja na Manzoki
 
Angekuwepo Chama nadhani Mgunda anhechezesha single Striker

Nimeona tangu Chama apatwe na adhabu, Mgunda amekuwa akilazimika kuchezesha washambuliaji wawili

Na kwa bahati mbaya Kibu amekuwa na bahati ya kukutana na mipira katika eneo zuri la kufunga ila ndio hivyo mchizi ame flop yani katepeta

Simba kwasasa lazima tukubaliane kwamba haina kikosi kipana, licha ya usajili lakini wachezaji wengi hawachezi na hiyo ni kutokana na uwezo walio nao sio wa kumridhisha mwalimu

Anyway points 3 kibindoni na sasa kilichobaki ni dua zetu kwa Singida atusaidie kupunguza gape la point kwa mpinzani wetu
Nafikiri Simba afanye usajili mzuri ktk dirisha dogo, la sivyo hata ile hatua ya kufika robo hatoweza kufika awamu hii bali ni aibu nzito anaweza kukutana nayo.
 
Humu ndani kuna shabiki wa Simba kindakindaki aliwahi kumpambanisha Kibu na Mayele, jamaa anaitwa Okwi Boban Sunzu, kitu kama hiko. Kipindi hiko kibu alikuwa na magoli sijui matatu vile sijui matano na Mayele hakuwa na goli.

Leo hii sijui atauweka wapi uso wake.
 
Kuna tetesi ya Luis Miquison na Manzoki kutua dirisha dogo
 
Huyu jamaa imefika wakati sasa ajiongeze kwa kujifunza fani nyingine maana mpira wa miguu umemshinda.

Hana akili ya mpira na muda wote anaangalia chini. Hata akiachwa na goli wazi hana uwezo wa kufunga.
Ni sahihi kusema kwamba, kiwango chake kimeshuka, ila sahihi kusema kwamba, hauwezi mpira! Hiyo itakuwa hali ya mhemuko! Let me declare, mimi ni Yanga, ila, kiwango cha mchazaji uwanjani kinaathiriwa na mambo mengi, aidha, Timu zetu kubwa huwa hazina mda wa kukuvumilia wao wanataka matokeo ya papo na haraka! Ukisema kwamba, hauwezi mpira, unamaanisha mlisajili muimbaji?
All in all, Simba mnahitaji kufanya usajili wenye tija.
 
Kibu hana akili ya mpira, huo ndio ukweli, hawezi kufanikiwa kwenye soka labda ajaribu kitu kingine. Anatumia nguvu nyingi sana bila akili. Hamna kiwango kilichoshuka kwasababu hajawahi kuwa na kiwango chochote cha maana.

Alisajiliwa kwasababu ya kukimbia sana uwanjani na zile nguvu. Iliaminika angeweza kupata mafunzo lakini sasa akili ya mpira ndio hana.
 
Humu ndani kuna shabiki wa Simba kindakindaki aliwahi kumpambanisha Kibu na Mayele, jamaa anaitwa Okwi Boban Sunzu, kitu kama hiko. Kipindi hiko kibu alikuwa na magoli sijui matatu vile sijui matano na Mayele hakuwa na goli.

Leo hii sijui atauweka wapi uso wake.
Anatumia sana Ngada huyo msamehe
 
Kibu kama kibu, jamaa ni hopeless kabisa. Pale alipata nafasi ya kufanya jaribio lakini akamtulizia kipa.
 
Back
Top Bottom