Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Ni wakati sasa aliempa kibu denis uraia awajibishweHuyu jamaa imefika wakati sasa ajiongeze kwa kujifunza fani nyingine maana mpira wa miguu umemshinda.
Hana akili ya mpira na muda wote anaangalia chini. Hata akiachwa na goli wazi hana uwezo wa kufunga.