Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Kama atakuwa na akili.Aloo jamaa rasmi katusua.
Huyu ni mkongoTuwathamini wachezaji wa ndani...
Kama ni kweli, nampongeza Kibu na uongozi wake...
Ila Mo na Gsm ni watanzania?Huyu ni mkongo
Ila Mo na Gsm ni watanzania?mzawa pekee alienufaika na soka la Tanzania hadi sasa ni feisal
Mbona wageni wanalipwa zaidi ya hivyo?Swali ni je, timu inao uwezo wa kulipa hivyo?
Msimu mzima, trophy ina thamani ya sh 600m, mchezaji mmoja wa timu ana thamani ya sh 380m kwa mwaka!
Vyanzo vya mapato, viingilio vya mechi, uuzwaji wa jezi na matangazo ya wadhamini; vyote kwa pamoja, 75% zinaingia mifukoni, iliyobaki ndo iendeshe timu; ni kiasi gani timu inapata kwa msimu, imekuwa SIRI!
Una akili ndogo sana bila shaka kwa kufikiri kila mtu humu jukwaani amezaliwa miaka ya 2000 na anaishi kwa wazazi/walezi kama ulivyo wewe.Tafuteni hela nyie achenj kukaa kwa dada zenu hapo mnawajazia nzi tu.