Kibu Denis Kuikamua Simba Milioni 760

Mikataba ni siri ila hapo unaweza kuta mshahara halisi ni m8 na mkata anakunja m20 hiv inayobaki pasu kwa pasu na wale matop pale juu.
 
Ifike kipindi hizi timu ziwe zinaweka Financial statements zao hadharani....
Mana kuna maswali mengi sana,
Mf.
1.Kama wana uwezo wa kufanya malipo ya namna hiyo,wanashindwaje kujenga viwanja vyao ....?
2.Je,hizo fedha ni zinatokana na vyanzo rasmi vya timu husika ama,mtu binafsi anachangia au ni timu inachukua mikopo...?
 
Kwa mpira upi? Wakala au meneja wake smart sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…