Kibu Denis leo amefanya mazoezi na wachezaji wenzake kuelekea Simba Day

Kibu Denis leo amefanya mazoezi na wachezaji wenzake kuelekea Simba Day

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mchezaji wa Simba SC Kibu Denis leo ameonekana katika mazoezi na timu yake akiendelea kujiweka sawa kuelekea katika kilele cha Simba day itakayo fanyika kesho.
Kibu awali hakuoneka akijiunga na wachezaji wezake wa Simba wakati wakijiandaa na msimu mpya.
Na tetesi zilizokuwepo ni kuwa alikiwepo Norway kwenye majaribio na moja ya timu .
Licha Kibu akihusishwa kutaka kujiunga na watani wa Simba ambao ni Yanga SC
 
Kibu atacheza nafasi ya nani pale Yanga akae benchi Chama au Pacome ili kibu acheze acheni utani ninyi wana labda kama anaweza kucheza beki huko siku moja moja Bacca atapumzika..
Mkude na Chama walipokuwa Simba mlikuwa mnasema hiv hivi Mashabiki oya oya mkiongozwa na yule Mzungu pori wenu
 
Back
Top Bottom