Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Chama na mwenzie mkude kabla ya kusajiliwa yalisemwa yanayofanana na haya.Kibu atacheza nafasi ya nani pale Yanga akae benchi Chama au Pacome ili kibu acheze acheni utani ninyi wana labda kama anaweza kucheza beki huko siku moja moja Bacca atapumzika..
Lini umewaona first eleven?Chama na mwenzie mkude kabla ya kusajiliwa yalisemwa yanayofanana na haya.
Mkude na Chama walipokuwa Simba mlikuwa mnasema hiv hivi Mashabiki oya oya mkiongozwa na yule Mzungu pori wenuKibu atacheza nafasi ya nani pale Yanga akae benchi Chama au Pacome ili kibu acheze acheni utani ninyi wana labda kama anaweza kucheza beki huko siku moja moja Bacca atapumzika..
Umesahau Mkude alivyowabeba kwenye mechi za kimataifa? Chama ni mpya, msimu haujaanza.Lini umewaona first eleven?