Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba SC

Chuki hizi dhidi ya wazawa tu ila bongo
 
Hizi ni chuki binafsi tu,utopolo wengi wanatamani Kibu asiendele Simba,akienda leo Yanga anaingia moja kwa moja anapata namba
Umedata wewe sio bure unajua mashabiki wa simba akili zimeruka kutokana na vichapo vya msimu huu Sasa huyo mtanzania feki anacheza namba ya nani🤣🤣🤣🤣🤣
 
Simba kweli mambumbu yaani huyu mkongo kibu Denis anasusa kabisa kusaini eti wanambembeleza chezaji lenyewe garasa hamna kitu ligi nzima Gori Moja straika Gani huyo aisee makolo kazi lnayoyaani chezaji kama kibu nalo linalinga kusaini mkataba mpya hii Kali 🤣, 🤣🤣🤣🤣
 
Viongozi wamevaa miwani za mbao hata hawaoni haya, kibu hajaowa na thamani hiyo labda wanaomtetea waseme kuna magoli anafunga alafu hayaonekani.
 
Kibu d mkandaji piga pesa ikiuma kibu kupiga madola kunywa chupa ufe Kufa kabisa
 
Sasa ndugu yangu una mlaumu nani?
Unamlaumu Kibu Denis kwa kutaka kulipwa mkataba mkubwa?
Unailaumu Yanga kwa kutaka kumnunua Kibu Denis kwa mkataba mnoo?
Unawalaumu Simba kwa kutaka kumng'ang'ania Kibu Denis?

Unapaswa kufahamu tu, mchezaji ghali ni matokeo ya soko, inavyoonekana Kibu Denis ana kitu kikubwa na muhimu ndio maana sokoni yupo juu.
 
Umedata wewe sio bure unajua mashabiki wa simba akili zimeruka kutokana na vichapo vya msimu huu Sasa huyo mtanzania feki anacheza namba ya nani🤣🤣🤣🤣🤣
Unaumwa ww,nimekuambia kibu anapata nafasi yanga acha kukaza fuvu
 
Ni wakati wake na riziki imeelekea upande wake ikiwa atapewa kiasi hicho naamini atamshukuru Mungu kwa Kipaji chake alichopewa
Usiwe na husda mkuu!
Habari za kiswahili swahili hzi eti riziki.......hii biashara mkuu watu wanaangalia output hayo mambo ya riziki kaa nayo wewe.
 
Upo sahihi.Njoo usainiwe wewe.
 
Nishawai kusem nikiwa kocha kibu si anajituma kukaba arud beki mbili siwezi kuwa na mchezaji mbinafis yaani yeye kukimbia weee 1000000000km nyingi bila madhara why asirud namba mbili ili akabe vizuri ..... yaani kibu anakimbia kaangalia chini tena kweny kibendera kule sasa sijui akienda kule anafungaje basi akibaki na kipa anapaisha au anapiga kashoot kadogo au akipiga shoot linaokotewa manzese all in all kibu hana thamani ya iyo pesa

Duniani kote mchezaji mzuri takwimu ndo zinambeba hakuna kusem sijui anakab sijui nguvu mpira wa kisasa na wa leo ni akili tu na ku score na assist kulinga na namba unayocheza basi
 
SIYO UTANI WEWE NI MWEHU KWELI.
ACHA KUSHAABIKIA MPIRA WA MIGUU UTAKUFA BURE HUJUI MPIRA.

UKIWAULIZA WALINDA MLANGO WA SIMBA MCHEZAJI ALIYEWASAIDIA WASIFUNGWE MAGOLI MENGI WATAKUAMBIA KIBU.

UKIMUULIZA SAR KUHUSU MCHEZAJI ALIYELINDA ASIPATE FEDHEHA ATAKUAMBIA NI KIBU.

UKIWAULIZIA MABEKI WA YOUNG AFRICANS MCHEZAJI GANI KUTOKA SIMBA NI TISHIO KWAO MSIMU HUU WATAKUAMBIA NI KIBU.

HATA MLINDA LANGO WA YOUNG AFRICANS KIBU ALIKUWA TISHIO KUBWA KWAKE NA HATA ILE 1-5 ILIKUWA NI KIBU VS YOUNG AFRICANS.

SASA MCHUKUE KIBU MUAMBIE WEWE NI MSHAMBULIAJI WA YOUNG AFRICANS YA SASA MTAKUJA KUSEMA TENA KULE SIMBA BOCCO ALIKUWA AKIMLOGA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…