Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Jamaa angetakiwa awe anacheza Straika, hasingekamatika katika ufungajiNaamini hili, ila abadilishiwe nafasi, kumtumia kama winga wa kulia ni kumkosea saana, naona anaoata tabu hata kidrible, kuingia nao ndani.
Nashangaa kocha kushindwa kuliona hilo.Jamaa angetakiwa awe anacheza Straika, hasingekamatika katika ufungaji
Itakua anawaonea aibu akina boco,kagere na mugaluNashangaa kocha kushindwa kuliona hilo.
Afumbe macho tu.Itakua anawaonea aibu akina boco,kagere na mugalu
Kibu anatumia miguu yote miwili hatumiki kama Right wing ila anatumika kama twin strikerNaamini hili, ila abadilishiwe nafasi, kumtumia kama winga wa kulia ni kumkosea saana, naona anaoata tabu hata kidrible, kuingia nao ndani.
Anatokea kulia au kushoto?Kibu anatumia miguu yote miwili hatumiki kama Right wing ila anatumika kama twin striker
Anatokea kuliaAnatokea kulia au kushoto?