Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kiwango kinachoonyeshwa na Kibu Denis kimewasuta wengi waliodai kuwa hakuwa na hadhi ya kuchezea Simba, jamaa ana nguvu, akikupa msuli ana turn right au left, kama hujala chakula vzr utamkuta kashaingia ndani ya 18, Kibu ni msumbufu sana, kama angeanza hivi tangu msimu unaanza Leo Kibu angekuwa na goli 15 na kuendelea.