Kibu Denis ni mshambuliaji hatari sana kuliko George Mpole

Kibu Denis ni mshambuliaji hatari sana kuliko George Mpole

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kiwango kinachoonyeshwa na Kibu Denis kimewasuta wengi waliodai kuwa hakuwa na hadhi ya kuchezea Simba, jamaa ana nguvu, akikupa msuli ana turn right au left, kama hujala chakula vzr utamkuta kashaingia ndani ya 18, Kibu ni msumbufu sana, kama angeanza hivi tangu msimu unaanza Leo Kibu angekuwa na goli 15 na kuendelea.
 
Kwa hilo hapana, kibu ana papara nyingi sana, anatumia nguvu pasipo uhitaji.
 
Kibu ni mchezaji wa hovyohovyo. Kila wakati anapoteza mipira. Anakaa na mpira muda mrefu bila sababu. Anapiga pasi mbovu na za uoga. Ana safari ndefu bado.
 
Naamini hili, ila abadilishiwe nafasi, kumtumia kama winga wa kulia ni kumkosea saana, naona anaoata tabu hata kidrible, kuingia nao ndani.
Kibu anatumia miguu yote miwili hatumiki kama Right wing ila anatumika kama twin striker
 
Alianza kufananishwa na king FK Mayele,sasa amekuja George Mpole.

Yaani!! Mashabiki wa simba bwana[emoji3],kila Kibu Denis akishinda basi atafananishwa uwezo na straika ambaye anamzidi kila kitu.

Sawa bhana! Kupanga ni kuchagua.
 
Mchezaji wa Simba au yanga akifunga gol mfululizo kwa mechi 2 bas utaandikwa humu kisifiwa

Mpen muda mwisho wa msimu tufanye analysis tujue ukwel

Boko amefunga mechi mbili mfululizo haandikwi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom