Kibu Denis yamemkuta, Klabu ya Kristiansund ya Norway aliyotaka kwenda yasitisha kumnunua na sasa yuko njiani kurejea Dar Tanzania

Sijapenda mkuu kuwa na tabia ya roho ya korosho. Kibu akifanikiwa akiwa huko Norway sifa ni kwa simba.
 
Ka
Kama atakuwa akilipwa mshahara,poa tu.
 
Mpuuzi sana huyo dogo, huwezi ukawa mkosa shukrani na akili kiasi hicho. Dawa yake huyo Simba wampeleke Mtibwa kwa Mkopo akacheze ligi daraja la kwanza
 
Nataka Uongozi wa Simba SC ( hasa Benchi la Ufundi ) wampigishe Benchi Msimu mzima ili akome na liwe Fundisho.
Hapana wasimpige benchi wampe kazi ya kufagia pale bunju mpaka msimu uishe baada ya hapo wampeleke kwenye timu daraja la kwanza kwa mkopo wa msimu mzima.

NB: ila kwa uzwazwa wa viongozi wa Simba sitashangaa kibu akarudishwa kundini na litakua kosa kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…