Kibu Denis yamemkuta, Klabu ya Kristiansund ya Norway aliyotaka kwenda yasitisha kumnunua na sasa yuko njiani kurejea Dar Tanzania

Kibu Denis yamemkuta, Klabu ya Kristiansund ya Norway aliyotaka kwenda yasitisha kumnunua na sasa yuko njiani kurejea Dar Tanzania

Ila kaonyesha dharau kweli...hajui kuwa maboss wote huajiri mtu mtiifu na mwaminifu...kawa Kama mtu asiyejua anachokitaka
Shule shule shule. Hakuna mwajiri anayeajiri mhuni, waliomfundisha huu ujinga wamemharibia sana atasugua bench hadi 2026 na CV ndiyo imeshachafuka.
 
Sijapenda mkuu kuwa na tabia ya roho ya korosho. Kibu akifanikiwa akiwa huko Norway sifa ni kwa simba.
Safari yake ilikuwa kwenda Utopoloni. Tunamshauri asubiri baada ya miaka miwili kama Yanga haiwezi kumlilia bil 2.7. Wakiweza wamchukue peupe asubuhi na mapema.
 
Baada ya Klabu hiyo ya Kristiansund kutuma Maombi yao ya Kumnunua Simba SC wakaambiwa kuwa Wasithubutu na wala Wasipoteze muda Wao Kumnunua kwani bado ana Mkataba na Simba SC.

Kusikia hivyo haraka sana Klabu hiyo ikamwambia Kibu Denis imesitisha Nia ya Kumnunua hivyo arejee Kwanza Simba SC. Hivi naandika huu Uzi Kibu Denis ni ama ameshatua nchini au ndani ya Saa chache tu leo anatua JNIA.

Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbania na nashauri mpigisheni Benchi hadi ashike Adabu liwe Fundisho Oky?
Apelekwe timu ya Simba ya wanawake akawe mfua jezi.
 
Naona tayari kibuyu kimelia
Mapema tu Mkuu na nilimuonya tokea Jana na Leo pia, ila akadhani Natania. Nimeshasema na kila Siku nasema hapa JamiiForums kuwa kama unajijua kabisa HUMPENDI GENTAMYCINE na wala HUVUTIWI na MADA zake pamoja na UWASILISHAJI wake basi acha kupoteza muda wako ama KUMSOMA au KUFUNGUA MADA zake au hata tu KUCHANGIA na waache wale WANAOMUELEWA na KUMPENDA wawe nae lakini bado MIJUHA haisikii. Siku hizi nimeamua na kwa Heshima pia ya hili Jamvi Watu wote wananiofanyia UPUUZI kama wa huyo wala sitokuwa NAWAJIBU hovyo kama ambavyo wamezoea na wanataka ila haraka sana nitakuwa NAWARIPOTI ili wachezee BAN hadi watakapojua namna ya KUHESHIMIANA hapa JamiiForums.
 
Back
Top Bottom