Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Kibu alisaini Simba baada ya mkataba kuisha?Inasemekana anaelekea zake Norway. Shida sio kumtaka ila swali kubwa ni ikiwa ni mchezaji wa Simba kwanini hafuati taratibu za Klabu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibu alisaini Simba baada ya mkataba kuisha?Inasemekana anaelekea zake Norway. Shida sio kumtaka ila swali kubwa ni ikiwa ni mchezaji wa Simba kwanini hafuati taratibu za Klabu?
Hapana. Endapo mchezaji atakuwa kinyume na ratiba au taratibu za timu, tafsiri yake ni nini?Sioni usumbufu anaouleta Kibu. Simba ipo inaendelea na ratiba zake.
Kibu tayari alisaini mkataba na Simba. Club pamoja na Wakala wake wamethibitisha hili.Kumbe hajasaini..ndo maana sijamuona kwa wale waliotambulishwa...
Ndiyo Mkuu. Kibu ni mali ya Simba. Club pamoja na wakala wake wamethibisha hili.Kibu alisaini Simba baada ya mkataba kuisha?
Kweli? Ok, labda walikubaliana makubaliano ya mdomo ila mkataba bado au inawezekana nina taarifa potofu. Alisain mkataba wa miaka mingapi?Ndiyo Mkuu. Kibu ni mali ya Simba. Club pamoja na wakala wake wamethibisha hili.
Inasikitisha sana Mkuu. Sometimes huwa nafikiri labda zile kelele za kung'ang'aniwa na hivi vilabu vya Kariakoo vimmpa kichwa anajiona ni Leo Messi. Hii ni fedheha sana.Nilishanga alipogomea kucheza timu ya taifa akadai amechoka huku wale waliomsaidia apate uraia wako kimya.
Huyu ndio anawafanya watu wakatae uraia pacha.
Taarifa kutoka kwa Simba wakati huu.Kweli? Ok, labda walikubaliana makubaliano ya mdomo ila mkataba bado au inawezekana nina taarifa potofu. Alisain mkataba wa miaka mingapi?
Anyway hakuna tatizo, mkataba lazima una kipengele cha kutokea iwapo ataamua kuuvunja. Simba haina cha kupoteza.
Kuna shida mahali.Taarifa kutoka kwa Simba wakati huu.
Fei aliomba kuvunja mkataba, Kibu hajasema popote kuwa anataka kuvunja mkataba. Akisema Simba haina sababu ya kumpa masharti nje ya exit clause ya mkataba aliousani kama kweli kasaini.Update mda huu Kibu anaelekea Norway kuna watu wamepost ushahidi wa picha,akiwa Airport jioni hii ya leo.
Hili picha na liona litakuwa kama la Fei......
Tatizo lako huangalii trend juzi tu kulikiwa na tetesi jamaa kapata timu Norway, leo nenda kwenye YouTube channel ya Millard Ayo kapost picha anaelekea Norway.Fei aliomba kuvunja mkataba, Kibu hajasema popote kuwa anataka kuvunja mkataba. Akisema Simba haina sababu ya kumpa masharti nje ya exit clause ya mkataba aliousani kama kweli kasaini.
Tatizo lako huangalii trend juzi tu kulikiwa na tetesi jamaa kapata timu Norway, leo nenda kwenye YouTube channel ya Millard Ayo kapost picha anaelekea Norway.
View: https://m.youtube.com/watch?v=2g66y4-CEsk
Endapo huko aendapo akitoboa, basi atafanya kama lichofanya Fei ni swala mda tuu,sizani kama atafanya mazungumzo na nyie kwa kukaa kwenye meza moja.
Just wait.
Tatizo lako huangalii trend juzi tu kulikiwa na tetesi jamaa kapata timu Norway, leo nenda kwenye YouTube channel ya Millard Ayo kapost picha anaelekea Norway.
View: https://m.youtube.com/watch?v=2g66y4-CEsk
Endapo huko aendapo akitoboa, basi atafanya kama lichofanya Fei ni swala mda tuu,sizani kama atafanya mazungumzo na nyie kwa kukaa kwenye meza moja,mtaukuta mzigo wenu Bank,halafu yy mwenyewe atawatangazia yupo huru.
Just wait.
Mpira maslahi na maslahi sio lazima yawe kwa mchezaji hata club inatakiwa ipate maslahi kutoka kwa huyo mchezaji.Mpira ni Maslahi, Kibu aende popote yeye afate exit clause tu ya mkataba aliopewa akasain(Iwapo amesain) inasemaje. Na akirudi Simba impe adhabu kwa utovu wa nidhamu.
Ndo maana mikataba ina exit clause ili kulinda maslahi ya Club. Ukitaka kutoka lipia kiasi gani kama gharama. Hakuna mkataba usiovunjika.Mpira maslahi na maslahi sio lazima yawe kwa mchezaji hata club inatakiwa ipate maslahi kutoka kwa huyo mchezaji.
Kibu kwa mujibu wa meneja wake ktk intvw aliyo fanya WhatsApp, kapewa hela yake yote na mkataba amesaini.
Kwani Fei alifuata exit clause alijiamulia,hata Kibu atajiamulia,kwa kuwarudishia hela mliyompa,sasa sijajua kwa Management ya 5imba itakubali au itakataa,sioni mkikaa mezani kabisa.
Hawezi kutoroka na pesa ya Simba na akasajiliwa kwengine. Kuna mawili tu hapa.Huyo mshamba wa sjui kigoma arudi aka lime machikichi tu...sometimes ni vile tu uongozi haupo stable, management imekaa kiree sana
Mkataba kuwa na Clause haina maana mchezaji eti anajiamulia.Ndo maana mikataba ina exit clause ili kulinda maslahi ya Club. Ukitaka kutoka lipia kiasi gani kama gharama. Hakuna mkataba usiovunjika.