Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Clause inampa hiyo nguvu ya kujiamulia as long as amefata hayo matakwa ya hiyo clause. We sema kuna ustaarabu kama uliishi na watu vizuri ni vyema kuufata. Mpira si biashara ya utumwa boss.Mkataba kuwa na Clause haina maana mchezaji eti anajiamulia.