Kibu kuisumbua Simba, Taswira mbaya kwa timu

Mkataba kuwa na Clause haina maana mchezaji eti anajiamulia.
Clause inampa hiyo nguvu ya kujiamulia as long as amefata hayo matakwa ya hiyo clause. We sema kuna ustaarabu kama uliishi na watu vizuri ni vyema kuufata. Mpira si biashara ya utumwa boss.
 
Hawezi kutoroka na pesa ya Simba na akasajiliwa kwengine. Kuna mawili tu hapa.

1. Kuna hadaa kuwa kasaini mkataba.
2. Amesaini na Atafata mkataba unavyosema akitaka kuuvunja.
Kitu anachopaswa kujua rank yake bado iko chini sana, so ni kama wanampa kichwa tu, soko la mchezaji kama kibu ni dogo, so akizembea atakuja kujikuta kwao kigoma😄
 
Kitu anachopaswa kujua rank yake bado iko chini sana, so ni kama wanampa kichwa tu, soko la mchezaji kama kibu ni dogo, so akizembea atakuja kujikuta kwao kigoma😄
Ni maslahi yake, yeye ni mtu mzima. Kama anaondoka atupe chetu sisi tunamtakia kila la heri. Mbadala wake upo hadi unamwagika.
 
Clause inampa hiyo nguvu ya kujiamulia as long as amefata hayo matakwa ya hiyo clause. Mpira si biashara ya utumwa boss.
Labda kwa timu yenu, ila sio kwa uhuni huu unaofanyika NBC.Mchezaji anajiamulia,kesho anakurupuka anajikadilia hela ya kulipa club yake. Ila kama kwenu kwenye timu yenu mambo yanaenda hivyo sawa. Ila uliona Yanga ilivyo pambana kwa Fei na Azam ilivyo pambana kwa Dube na wote walilipwa hela kubwa kuliko ile wachezaji waliyo taka kujikadilia.

Kama nyie mtaruhusu uhuni huu hongereni, itakuwa kivyenuvyenu na kwa style yenu.
 
Kwa kweli Kibu siyo aina ya mchezaji wa kuisumbua Simba,mshambukiaji msimu mzima kafunga kagoli kamoja sasa wa nini huyu?
Lilikua goli la dhahabu lile. Lilisababisha Simba irudi mchezoni, bila ya hivyo 8-0 zilikua zinawahusu.
 
Kibu anakwenda Yanga anatangazwa siku ya mwananchi
 

Attachments

  • IMG-20240723-WA0006.jpg
    308.1 KB · Views: 2
Ni maslahi yake, yeye ni mtu mzima. Kama anaondoka atupe chetu sisi tunamtakia kila la heri. Mbadala wake upo hadi unamwagika.
Mkuu nimesoma replies zako zote. Unaweza kuangalia mambo yalivyo bila nadharia yeyote? Maana ukiweka nadharia kwanza, basi utajikuta unatafuta namna ya ku-justify nadharia yako.

Issue kubwa hapa sio Simba kutaka kumbakisha Kibu. Issue kubwa ni kwa kuwa ni mali halali ya Simba kwa sasa kwanini hafuati taratibu za wamiliki wake wa sasa? Hili ndio kubwa.

Ila kama itatokea anataka kuondoka Klabuni, milango iko wazi afuate taratibu tu. Tena kwa kibu ni biashara mapema kabisa. Nje ya hapo anakuwa muhuni kama wahuni wengine. Huu uhuni ndio hatuutaki pale Klabuni Mkuu.
 
Nakubaliana na wewe kuwa akitaka kwenda yeye aangalie kipengele cha kuvunja mkataba wake akifate.
 
Bora yao. Ila wahakikishe wanafuata taratibu, nje ya hapo litawatokea puani. Hatuwezi kuvumilia uhuni wa namna hii.
Taratibu ni kulipia gharama za kuvunja mkataba wake mkuu zilizopo kwenye mkataba aliosain, hakuna taratibu nyingine.
 
Taratibu ni kulipia gharama za kuvunja mkataba wake mkuu zilizopo kwenye mkataba aliosain, hakuna taratibu nyingine.
Taratibu yeyote ambayo itakuwa ni halali basi sisi tutabariki na kumtakia kila lenye kheri Mkuu. Katika pesa itakayotoka kama itakuwa mapema basi tutajaribu kuongeza kwenye deal la Mpanzu au kumboreshea mahitaji mdogo wangu Chasambi. Win-win.
 
MCHAZAJI ANA GOLI MOJA MSIMU MZIMA BADO ANAWASUMBUA...GUEDE KATUPIA SITA KWA MKATABA WA MIEZI SITA TU SASA YUKO IHEFU
 
Alipowakanda Yanga siku ile Diara akabinuka...baaaasiii kashakua supastaa..mwacheni kijana akawande wazungu...
 
Simba waungwana watakubali tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…