Kiburi cha Polepole kimefika mwisho

mapessa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
664
Reaction score
1,168
Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.

Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
 
Kwanini aombewe?

Halafu unaweza kuta yeye hata hauhitaji huo ubunge wala hayuko ki-chama vileee ila wewe unastresika kumtafutia maombi hapa.

Wewe unafikiri Polepole mtoto au kapungukiwa ufahamu?
 
Polepole Sasa anaongea Kama mchungaji mwamakula busara zimerudi baada ya kuondokewa power and influence kile kipindi chake Cha makoneksheni kupigia wakuu wa mikoa wakuu wa wilaya wakurugenzi simu usiku kimeisha na Hana makoneksheni Tena maisha banaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…