Kiburi cha Polepole kimefika mwisho

Kwani pole pole ana tatizo gani. Mimi hili li-ccm nimelichoka kabisa. Yaani mtu ndani ya ccm lazima uendane na upepo anaoendea rais?. Ukikinzana nae mwenyekiti kifikra tayari inakuwa tatizo?. Hata kama mwenyekiti anakosea lazima wote ndani ya ccm mkosee?.

Muenendo wa namna hii ndio uliotufikisha hapa kama,tunarudi nyuma badala ya kusonga mbele
 
Hivi uenezi utaulinganisha na ubunge..Ubunge unalipa kimapato bwana
Uenezi enzi za polepole??ulikuwa ni zaidi ua uwaziri, ziara kila siku wilayani huko, na anavyopokelewa ni kama waziri mkuu!!waulize mawaziri walivyokuwa wana muogopa!!kwani walijua akikusagia kunguni tu kesho jiwe ana kumwaga!!ila nimeamini kuishi kwa kumtegemea binadamu mwenzako sio kabisa!!!
 
Siasa za CCM sasa ni kutishana na kukaripiana.

Si ruhusa ndani ya CCM kuwa mkweli
Mwl Nyerere ndio mwasisi wa huu ujinga. Yaani mnakaa watu milioni 8 eti kwa kuwa ni wana ccm hamtakiwi kuwaza tofauti
 
Alikua anakusanya perdiem. Polepole mjanja sana. Alopiga hela za ccm kwa kisingizio cha ziara kukagua utekelezaji wa ilani
 
Anawatu nyuma yake.

lakini ya kimkuta ni yake pekeyayake
 
Chochote kikimtokea kibaya kuanzia ulipobandika vitisho hivi you will be held accountable
 
Heading haisadifu ulichoandika.
 
Mwl Nyerere ndio mwasisi wa huu ujinga. Yaani mnakaa watu milioni 8 eti kwa kuwa ni wana ccm hamtakiwi kuwaza tofauti
Nyerere alisema, kama alifanya mambo ya hovyo msiyafuate bali chukueni yale mazuri.

Shida ni kwamba watu wetu wa leo ndani ya chama hawajui kuchuja yapi mazuri na yepi mabaya.

Hawana macho
 
Atajitoa..........Ataanzisha chama.......atapata wafuasi....atakuwa maarufu..........ataua wenzake.......atagombea....watasukuma Gari lake.....atazuga......atalindwa.....atarudi nyumbani......historia hujirudia......
 
Mhh sio viti maalumu. Funika bakuli wee mbwa
 
Hivi kikatiba sami ahawezi mtoa/mvua ubunge
Anaweza kwa urahisi sana! Anamwambia tu “Comprade Polepole, Nataka nikuteue mkuu wa mkoa, jiuzulu, nafasi yako tumpe mwanamama!” Anampa mkoa kwa miezi miwili, anamtumbua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…