Kiburi chake kinampoza sasa, anaomba poooo

Sawa kwa mtazamo wako,kuna vile u navyo hisi ila kuna vile hali ilivyo
Watu wanashindwa kuelewa kuna unapika msosi unakula wewe tu [ watoto hawajatajwa] kuna muda anaondoka anarudi usiku ( hali ya watoto vipi nawewe kazi unafanya saa ngapi) humsemeshi wala hujibu chochote ( reaction ya watoto?). Au unasemea watoto gani wewe? Unawajua watoto hata ukiwaona?
 
Shukuru hakuwatumia watoto kama fimbo ya kukupigia!!

Ni rahisi sana kumwacha ke yeyotee Kuna Ile bond deep na wanao Huwa inaumiza sana,na akijua hiyo ataitumia vizuri sana!!sema ukishapona huo mtego hakuna kiumbe wa kukubabaisha tena Duniani!!
Kuna ke wanna akili sana akiona wewe na yeye haziivi ana keep wale watoto close kati yenu walau muwe mnajadili kuhusu mstakabali wa watoto pamoja

Majinga huwakimbiza watoto kwa ndugu,wakijua mchezo umeisha,kumbe maumivu ya muda yanakupa option na ukishaipata hata akigundua Ali mess up it's too late!!!

Bahat nzuri kwenye haya maisha pesa haitoshi,wala hakuna mtu asiechuja,na Wala hakuna muujiza kwenye maisha ni mwendo wa kuyapanga matofali mdogo mdogo hadi mwisho wa maisha!!!
 
Y
Sasa umeongea mengi ila sijaona wap umetaja watoto ina maana hata watoto wako hutoi pesa ya chakula

Inamaana ata watoto wako huwaudumii

Achana na mambo ya code wekeni mambo yenu sawa na mwenza wako msitake kutesa watoto kwa kuoneshana ubabe na mkeo
Hiki kigezo cha watoto ndo ujinga sasa
 
Km huyo mwanamke ana uchumi wake binafsi, wala usijisumbue wee toka na hatakutafuta kamwe, labda kuwajibika juu ya watoto tu.
Mbio fupi hizo watoto wawili nani ahangaike nae,age itasonga Atabaki peke yake atatamani kurudi kwa mumewe itakua amechelewa
 
Hii ilinitokea mwezi huu huu nikasepa,akaenda polisi tukashindwana,akaenda serikali za mitaa yule mama alinibembeleza sana ila nikamwambia kwamba ampe barua aende mahakamani.
Lakini yule mama akasema hawezi kumpa ruhusa ya kwenda popote ikiwa yeye hakupata nafasi kutusikiliz inawezekana yeye akafanikisha kututatulia tatizo hili.

Nikamkubalia ila nikamwambia sina nafasi kwa sasa mpaka nitkapopata basi kama siku 5 hivi nikaenda yakaisha.
HIVYO NIKAJA KUJIFUNZA MENGI SANA KWENYE MGOGORO ULE,NIPO NIKAJUA MTANDAO WA AIRTEL NI WA HOVYO KUWAHI KUTOKEA DUNIANI
 
Mwanangu visungura na Jua kali hili haviendani kabisa!?
 
Kweli code unazo , nimekubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…