Kiburi chake kinampoza sasa, anaomba poooo

Watu wanashindwa kuelewa kuna unapika msosi unakula wewe tu [ watoto hawajatajwa] kuna muda anaondoka anarudi usiku ( hali ya watoto vipi nawewe kazi unafanya saa ngapi) humsemeshi wala hujibu chochote ( reaction ya watoto?). Au unasemea watoto gani wewe? Unawajua watoto hata ukiwaona?
kazini naingia mchana saa 8 na kutoka saa 3 usiku,watoto wote wanasoma ,mkubwa anasoma darasa la 1 huyo mdogo pre unit,mkubwa anatoka shule saa 6,mdogo saa 7 kwahiyo mimi huwa naamka saa 9 asubuhi nafanya mazoezi lisaa limoja, napokaa jirani ana genge kubwa sana napiga simu naletewa vitu navyotaka,kupika napika chakula cha afya,watoto nimewalipia uji na chakula cha mchana,kwahiyo mda wanaorudi wananikuta ndo najiandaa kwenye kazini,mimi mafanya kazi kwenye kampuni kubwa ya mabus hapa Tanzania,huwa mchana ndo niliomba iwe shift yangu.huwa napika nao pia wanakula,jioni kuna mshikaji huwa anawapeleka supu chapati,Sikh nyingine pilau nimeeleweka
 
Hivi nyie unawajua hawa wanawake wa kinyakyusa??

Kwanza wanapenda kula mfano hakuna,yani kwao kula wali,tena wakanunua chips
kuku pamoja sio la kushangaa
Hawajui bajeti.
Pili wanapenda kuvaa yani huyu nguo nilizo mnunulia,zinajaa mabegi na mabegi,viatu unafungua office,
Ndani anakila kitu,ila kukopa kwa muha sio poa,kuna muha zaidi ya 6 wanamdai

Tatu hawashauriki,utachoka wewe washamba kila kitu wanataka kuwa juu,wanajiona malaika ,kwao hakuna kasoro
MDA wote wanaongea na simu kukusema na kusema watu mpaka nishajua kinyakyusa
Ni watu wanatafuta ugomvi kwa nguvu
 
Hawana Tofauti na Wahaya, Watu wa Shari shari hiviii...
 
kazini naingia mchana saa 8 na kutoka saa 3 usiku,watoto wote wanasoma ,mkubwa anasoma darasa la 1 huyo mdogo pre unit,mkubwa anatoka shule saa 6,mdogo saa 7 kwahiyo mimi huwa naamka saa 9 asubuhi nafanya mazoezi lisaa limoja, napokaa jirani ana genge kubwa sana napiga simu naletewa vitu navyotaka,kupika napika chakula cha afya,watoto nimewalipia uji na chakula cha mchana,kwahiyo mda wanaorudi wananikuta ndo najiandaa kwenye kazini,mimi mafanya kazi kwenye kampuni kubwa ya mabus hapa Tanzania,huwa mchana ndo niliomba iwe shift yangu.huwa napika nao pia wanakula,jioni kuna mshikaji huwa anawapeleka supu chapati,Sikh nyingine pilau nimeeleweka
Aya bhana poa mkuu nimependa kusikia hali za viumbe vyetu hivo! pamoja mkuu
 
Hawa wawili wapigane na hali zao tu.

Wameyataka wenyewe.

Mimi nawasikitikia watoto wasio na hatia tu.

Mkuu,Hivi na sisi ambao tumetengana na wake zetu then mwanamke akabeba watoto wote akaenda kwao. Baada ya mda anakwambia usinitafute na nishapata mtu anakusaidia majukumu,fanya kama vile hukuzaa na Mimi hafu unapgwa block. Hapa unakuwa Mimi nimetelekeza familia au hii kesi ikoje nikiamua kufatilia haki juu ya watoto wangu.
 
Hujajibu swali la unapomnyima pesa watoto wanaishije, wanakula nini?

Pia, unaposema unamtengenezea bomu watoto hatawaona tena una maana gani, utawachukua watoto?
mimi nimshauri mleta uzi asifanye maamuzi ili aonekane yeye ni mwanaume wa nguvu au bingwa wa kisasi utaumiza kizazi chako kwa ubinafsi wako uyo ni mkeo kaeni chini myajenge mna nafasi ya kuponya shida zenu za mahusiano na sio kununiana ndani ya nyumba
 
Mkuu,Hivi na sisi ambao tumetengana na wake zetu then mwanamke akabeba watoto wote akaenda kwao. Baada ya mda anakwambia usinitafute na nishapata mtu anakusaidia majukumu,fanya kama vile hukuzaa na Mimi hafu unapgwa block. Hapa unakuwa Mimi nimetelekeza familia au hii kesi ikoje nikiamua kufatilia haki juu ya watoto wangu.
REf dark code
 
Uyajenge wapi mkuu,mwanamke anayekudharau,kutukana mbele ya watoto wako,anatukana familia yako kuna mambo mengine tumia logic acha hisia pembeni,kila kitu hapa duniani kina destiny labda ndo ilivyoandikwa hivyo,kuna mda mwingine kwenye maisha MUNGU kuna watu anataka uwaondoe kwenye maisha yako,sasa ukijifanya una roho nyepesi ndo baadae unasikia fulani kaua,alafu mwisho wa siku wewe ndo utanihukumu hapa uyazungumze yapi wewe ushawahi tukanwa mbele ya watoto wako??
 
Mkuu,Hivi na sisi ambao tumetengana na wake zetu then mwanamke akabeba watoto wote akaenda kwao. Baada ya mda anakwambia usinitafute na nishapata mtu anakusaidia majukumu,fanya kama vile hukuzaa na Mimi hafu unapgwa block. Hapa unakuwa Mimi nimetelekeza familia au hii kesi ikoje nikiamua kufatilia haki juu ya watoto wangu.
Kama alikutumia meseji,au amekublock kuwa usiwaone watoto hifadhi ushahidi then nenda ustawi wa jamii kule watakupa muongozo wote
 
Back
Top Bottom