Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Maamuzi magumu. Kuamua Lissu kawashinda wamkimbie kwa kuondoa kesi mahakamani ni mshale. Kusimama na Lissu Mahakamani ni mshale. Kumshawishi Lissu wayamalize ili wamwachie ni mshale.
IPO wapi Katugaa?
Basi wote nchale!na bado shughuli mbichi sana
Kuna kale kanaitwa Mbiringe, kengine Ajuaye... Ovyo sana ile mijamaa😂 😂 🤣IPO wapi Katugaa?
Wote hao ni nchale tu, hakuna dawa nyingine!Kuna kale kanaitwa Mbiringe, kengine Ajuaye... Ovyo sana ile mijamaa😂 😂 🤣
Hii inaitwa: MCHAWI, MPE MWANAO AKULELEE. Hawa wachawi (Samia na wahuni wenzake) wamepewa mtoto (TL) wamlee. Akifa mikononi mwao, napo watakula nchale za kutosha mpaka nao wafe...!!Maamuzi magumu. Kuamua Lissu kawashinda wamkimbie kwa kuondoa kesi mahakamani ni mshale. Kusimama na Lissu Mahakamani ni mshale. Kumshawishi Lissu wayamalize ili wamwachie ni mshale.
Watafanyaje?
Wakiona mpakwa Mafuta anavuofurahi matumbo yao yanawaka moto!