Kibwenzo cha Lissu hatimae kawapata Polisi, Wanasheria wa Serikali na Mashahidi wa Kificho!

Maamuzi magumu. Kuamua Lissu kawashinda wamkimbie kwa kuondoa kesi mahakamani ni mshale. Kusimama na Lissu Mahakamani ni mshale. Kumshawishi Lissu wayamalize ili wamwachie ni mshale.

Watafanyaje?
Hii inaitwa: MCHAWI, MPE MWANAO AKULELEE. Hawa wachawi (Samia na wahuni wenzake) wamepewa mtoto (TL) wamlee. Akifa mikononi mwao, napo watakula nchale za kutosha mpaka nao wafe...!!

Bila shaka Albert Bashite Malyangili a.k.a Paul Christian Makonda analaumiwa sana na ma - drug cartels wa CCM - Lumumba wakimhoji kwanini hakumpiga risasi za kicwani ile September 7, 2017 ili kumuua kabisa🤔🤔.

The only way ya kumtoa ktk picha huyu mpakwa mafuta a.k.a Masihi wa Bwana Mh Tundu Antiphas Mughway Lissu ni kumuua na hili nalo haliwezekani asilani maana wakifanya hili, watakuwa nchale pia...​

Hili la kumuua ni sawa na methali hii: MCHAWI MPE MWANAO AKULELEE..

The only possible way to get out of this mess is TO SWALLOW THEIR PRIDE & EGO, by putting down to the end their stupidity...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…