Kichaka cha Amani chini ya Serikali ya CCM… yafaa kufyekwa- Miguna

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Kila kitu Utasikia wasituvurugie amani.

Hiki Kichaka wakuu kinatakiwa kuondolewa.

Hii sio amani bali ni Ulaji na ufisadi kwa utulivu.
 

Attachments

  • eba6b5c1-7a26-45e6-bfd3-f89de0999e1a.jpeg
    189.4 KB · Views: 16
Kila kitu Utasikia wasituvurugie amani.

Hiki Kichaka wakuu kinatakiwa kuondolewa.

Hii sio amani bali ni Ulaji na ufisadi kwa utulivu.
Ukisikia watawala matapeli, madalali na wezi wakishawishi sana kuhusu kulinda amani na uhuru fahamu kabisa kuwa wanalinda status quo! Wana hofu ndani yao... Hawana amani wakijihoji itakuwaje siku wananchi wakiamka!
 
Kila kitu Utasikia wasituvurugie amani.

Hiki Kichaka wakuu kinatakiwa kuondolewa.

Hii sio amani bali ni Ulaji na ufisadi kwa utulivu.

Hii sio amani bali ni Ulaji na ufisadi kwa utulivu.
 
Hii sio amani ni ulaji na ufisadi wa utuli

Nimenukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…