Kichanga aliyepotea Kagera kwa siku 7 apatikana Dodoma

Nime imagine mtu hadi anafikianhatua ya kuiba mtoto, amehangaika kiasi gani
sio kila kitu ni kwaajili ya kila mtu,huu ni ukweli ambao ni mgumu kuukubali

There is happiness,but not for every one

There is wealth,but not for every one

There is love,but not for every one

Hivo hivo kwa watoto pia

Watu wafanya abortions daily,na bado wanapata watoto tena, lakini wengine hata kitu kinachoitwa pregnancy hajawahi kukisikia,

Only death is there for every one
 
Hongera kwa mama kwa kumpata mtoto wako, lakini hongera na pongezi nyingi sana kwa jeshi letu la police kwa kufanikisha kumpata mtoto huyo. Hii inadhihirisha kuwa jeshi letu lina weledi mkubwa sana katika mambo ya intelijensia. Imagine, mtoto kaibwa Bukoba kapelekwa Dar na baadaye karudishwa Dodoma; kote huko wametrack na kumkamatia mwizi Dodoma. Hakika mnastahili kongole na shukrani za kipekee kwa weledi huu mliouonyesha!
 
Aje nimzalie mmoja jaman apate hata wa kumtuma kuliko kuiba mtoto
 
Pesa imewatoka wahusika sio buree
 
kuibwa alipelekwa kata ya Kamachumu Wilaya ya Muleba kwa mganga wa jadi ili afanyiwe dawa asimsumbue aliyemchukua
nguvu ya kiroho vs nguvu ya kimwili ipi inafanya kazi zaidi?
 
Kama mtu anaweza kuiba, kwa nini asifikiri kuasili (adopt).
 
Kesi kama Hii ilitokea South Africa. Kichanga wa kike aliyeibwa hospitalini akaja kupatikana miaka 17 baadae akwa Binti mkubwa na hiyo ni baada ya kuwa na urafiki na binti mwingine mwanafunzi mwenzake aliyekuwa amefanana naye sana. Kumbe ni ndugu yake wa damu kabisa.

 
Kuna mambo yanahuzunisha na kusikitisha sana. Usikute mhusika, ana maisha mazuri kabisa! Ila mwisho wa siku hana mtoto.
Mara nyingi inakua hivyo, yuko bwana mmoja mshika dini mzuri (Msabato) sana. Huyu bwana hadi navyoandika hapa yuko na miaka 48 hajabarikiwa kupata mtoto.

Ni mpweke, lakini pia ni mpole sana hadi unajiuliza shida iko wapi? Guess maisha yake na mwenza aisee ndo ile wanasema penye miti hakuna wajenzi, ila naamini iko siku Mungu atambariki apate uzao wake.
 
Hizo siku sijui hata kalikuwa kanakishwa nn hicho kichanga
 
Dunia inaenda kasi sana kwanini hakwenda vituo vya kulelea watoto wanaookotwa akajipatia mtoto kisheria?
 
Duh?[emoji41]
 
Maneno magumu sana, nimevuta pumzi kwa shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…