PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji106]Mwanamke hata hujakaa mwili ukajisafisha vyema baada ya uzazi unajitembeza barabarani? Mtoto huyu hata kitovu hakijapona ushaanza kumpitisha mitaani? Jmani hata huko ulaya wenye akili timamu hujua nini maana ya likizo ya uzazi..huu ni ulimbukeni.
Ohooooo!!!Kuitwa jina Faiza nalo ni tatizo .
Ulaya ndio wanakaa tu ndani kwa siku 40?Mwanamke hata hujakaa mwili ukajisafisha vyema baada ya uzazi unajitembeza barabarani? Mtoto huyu hata kitovu hakijapona ushaanza kumpitisha mitaani? Jmani hata huko ulaya wenye akili timamu hujua nini maana ya likizo ya uzazi..huu ni ulimbukeni.
Sijasema siku 40 mahali, ila huko angalau wanajua maana ya kulea ndio maana hata wababa hupewa likizo ya uzazi pia.
Asante kwa ufafanuzi.Jumatano ni siku ya chajo kwa watoto pale aghakhan na faiza alikwenda huko.
Mlitaka akae nae ndani mpaka mila zenu zitakaporuhusu ndio atoke ampeleke?
Au angeenda yeye pekee kwa niaba ya mtoto??
Au ninyi wenzetu baada ya kujifungua huwa mnafuatwa ndani na madaktari kila chanjo na mnapokua na tatizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa watu wanaopachika watu kama hawa mimba huwa wana roho ngumu sana!
[emoji106]Sijasema siku 40 mahali, ila huko angalau wanajua maana ya kulea ndio maana hata wababa hupewa likizo ya uzazi pia.
Oh oo oo!!![emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Kazi kweli kweli... Huyo mtoto huenda akaja kupata matatizo ya ubongo..
Hata huku uswahilini wanajua maana ya uzazi, wengi tumelelewa na tumekua vyema tu ndugu.Sijasema siku 40 mahali, ila huko angalau wanajua maana ya kulea ndio maana hata wababa hupewa likizo ya uzazi pia.