Kichanga cha Faiza Ally chaanza kutembezwa kwenye mitaa!!!

Kichanga cha Faiza Ally chaanza kutembezwa kwenye mitaa!!!

Naona sasa hivi utandawazi umekuwa kwa kasi sana kichanga hakija fikisha hata siku 7(wiki moja)kinaanza kutembezwa kwenye mitaa,hili nimeliona kwa mrembo Faiza Ally.
Picha hapo chini[emoji116]
0f33a98cda554b20fe5ccb9fe4290c7e.jpg
cf35515ca87a81f49283136fad73df3b.jpg
9739e02c4defdc805c42fb4d6499a635.jpg




Nb:Wabobezi wa mambo ya Afya na dini hii imekaaje?piteni mtutoe tongo tongo kwenye hili.

-Ndumilakuwili-
mwenyewe huwa anasema hana dini. Ila kiafya yeye mwenyewe pia anahitaji mapumziko
 
Wenyewe watakwambia wanaenda na wakati mtoto anatakiwa atembezwe bada ya siku 40
 
Back
Top Bottom