Mr.Wenger
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 2,569
- 6,165
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwenyewe huwa anasema hana dini. Ila kiafya yeye mwenyewe pia anahitaji mapumzikoNaona sasa hivi utandawazi umekuwa kwa kasi sana kichanga hakija fikisha hata siku 7(wiki moja)kinaanza kutembezwa kwenye mitaa,hili nimeliona kwa mrembo Faiza Ally.
Picha hapo chini[emoji116]![]()
![]()
![]()
Nb:Wabobezi wa mambo ya Afya na dini hii imekaaje?piteni mtutoe tongo tongo kwenye hili.
-Ndumilakuwili-
mwenyewe huwa anasema hana dini. Ila kiafya yeye mwenyewe pia anahitaji mapumziko
[emoji106]Wenyewe watakwambia wanaenda na wakati mtoto anatakiwa atembezwe bada ya siku 40
Na leo kaenda coco beachWenyewe watakwambia wanaenda na wakati mtoto anatakiwa atembezwe bada ya siku 40