Kichanga cha Faiza Ally chaanza kutembezwa kwenye mitaa!!!

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Naona sasa hivi utandawazi umekuwa kwa kasi sana kichanga hakija fikisha hata siku 7(wiki moja)kinaanza kutembezwa kwenye mitaa,hili nimeliona kwa mrembo Faiza Ally.
Picha hapo chini[emoji116]
0f33a98cda554b20fe5ccb9fe4290c7e.jpg
cf35515ca87a81f49283136fad73df3b.jpg
9739e02c4defdc805c42fb4d6499a635.jpg

Nb:Wabobezi wa mambo ya Afya na dini hii imekaaje?piteni mtutoe tongo tongo kwenye hili.

-Ndumilakuwili-
 
Mwanamke hata hujakaa mwili ukajisafisha vyema baada ya uzazi unajitembeza barabarani? Mtoto huyu hata kitovu hakijapona ushaanza kumpitisha mitaani? Jmani hata huko ulaya wenye akili timamu hujua nini maana ya likizo ya uzazi..huu ni ulimbukeni.
 
[emoji106]

Ulaya ndio wanakaa tu ndani kwa siku 40?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jumatano ni siku ya chajo kwa watoto pale aghakhan na faiza alikwenda huko.
Mlitaka akae nae ndani mpaka mila zenu zitakaporuhusu ndio atoke ampeleke?
Au angeenda yeye pekee kwa niaba ya mtoto??
Au ninyi wenzetu baada ya kujifungua huwa mnafuatwa ndani na madaktari kila chanjo na mnapokua na tatizo?

Asante kwa ufafanuzi.
 
Kazi kweli kweli... Huyo mtoto huenda akaja kupata matatizo ya ubongo..
 
Sijasema siku 40 mahali, ila huko angalau wanajua maana ya kulea ndio maana hata wababa hupewa likizo ya uzazi pia.
Hata huku uswahilini wanajua maana ya uzazi, wengi tumelelewa na tumekua vyema tu ndugu.
Kama umeshawahi kuzaa au kuishi na mzazi utaelewa kwanini faiza alitoka na mtoto wala si kumtembeza mtaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom