Kichanga cha Faiza Ally chaanza kutembezwa kwenye mitaa!!!

Hata huku uswahilini wanajua maana ya uzazi, wengi tumelelewa na tumekua vyema tu ndugu.
Kama umeshawahi kuzaa au kuishi na mzazi utaelewa kwanini faiza alitoka na mtoto wala si kumtembeza mtaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nimesema huko uzungu wanao iga huko ulaya, ninamaanisha hata huko kuna wapumbavu, na sijasemea uswazi wala ushuani maana hawa wanajifanya ni wa mbele lakini wanakosea..
 
Labda alipata safari au kitu cha muhimu kiasi kwamba ilimladhimu aende na kichanga chake
 
Zamani wakisema ukijifungua unakuwa na harufu Fulani ambayo inapendwa na majini
hivyo unatakiwa utulie walau miezi mitatu kabla ya kuanza kuzunguka, na ikishindikana
mtoto walau awe ndani ili ufanye kazi ndogo ndogo hapo ulipo.

by the way, mbona huyo mtoto kichwa kama cha mr2sugu?
 
kwa kwenda kiliniki hadi kubadili magauni?
 
Na Chanjo atapewa saa ngapi akikaa ndani tu?
Akiwa na tatizo mtoto daktari anawafuata nyumbani?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…