rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Na wala sijakuita na kukuomba hata kukulazimisha ukubali kijana.Chanjo gani hiyo alienda kupewa?!
Chanjo za mwanzo za mtoto huwa zinatolewa kabla mama hajaruhusiwa kutoka hsptl.
Hapo sio aga khan ni hotel kwahiyo siwezi kukubaliana na mtu anayesema alikuwa kwny chanjo
Mtoto wake hata akimpeleka beach wewe unaumwa nini?? [emoji15]
Pata uzazi ndiyo utajua yanayoendelea sio kuyasikia kwa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app