Kichanga cha Faiza Ally chaanza kutembezwa kwenye mitaa!!!

Kichanga cha Faiza Ally chaanza kutembezwa kwenye mitaa!!!

Jumatano ni siku ya chajo kwa watoto pale aghakhan na faiza alikwenda huko.
Mlitaka akae nae ndani mpaka mila zenu zitakaporuhusu ndio atoke ampeleke?
Au angeenda yeye pekee kwa niaba ya mtoto??
Au ninyi wenzetu baada ya kujifungua huwa mnafuatwa ndani na madaktari kila chanjo na mnapokua na tatizo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata kama ni chanjo, je picha nazo zina ulazima gani? Wamama wengi wanaharibu watoto hivi. Mama mzuri anaheshimu familia yake na kuifanya private. Nadhani kuna shida kwenye uelewa, kwenda na wakati haamanishi kufanya hivi vituko
 
Kupiga picha ni kutoheshimu familia? [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mtoto anaharibikiwaje kwa mama kupiga picha?
Tatizo tulizaliwa enzi za kale mpiga picha mpaka akatafutwe...sasahivi kunasmartphone napiga picha inatokea hapohapo niache kuweka kumbukumbu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu wanaoungulika na mambo yake ni walewanaojiita wanaume [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Harafu wananishangaza hiki kizazi kimekua na wanaume wambea sijapata ona,walitaka faiza aende sehemu bila mtoto waseme huyu mama mtoto anasiku kamwacha ananyonya saa ngapi!!!? Kaenda nae shida mweeh.

Mimi hata angeenda nae gesti tatizo nini!!!si wakwake! Anayo maamuzi yakufanya atakavyo ili mradi hajaua hicho kiumbe.huyo ni mtu mzima hawezi tembea tu na mtoto kama maonyesho lazima kuna kitu muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama ni chanjo, je picha nazo zina ulazima gani? Wamama wengi wanaharibu watoto hivi. Mama mzuri anaheshimu familia yake na kuifanya private. Nadhani kuna shida kwenye uelewa, kwenda na wakati haamanishi kufanya hivi vituko
Suala la kufanya uzazi kuwa Private issue au lah ni la mtu mwenyewe....!

Usilazimishe mtu afanye kile unachofanya wewe.

That's the principle of life.
 
Ongeza hakuwa na mtu wa kumbebea! Hata angalikuwa naye, Clinic lazima mzazi aende maana ndiye hotel ya kichanga
[emoji2] labda wenzetu madaktari huwafuata nyumbani hawatoki nje mpaka 40 na hawaendi kokote mpaka miezi3 iishe jf watu wakotofauti na mtaani wanamihela they can afford private huduma[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harafu wananishangaza hiki kizazi kimekua na wanaume wambea sijapata ona,walitaka faiza aende sehemu bila mtoto waseme huyu mama mtoto anasiku kamwacha ananyonya saa ngapi!!!? Kaenda nae shida mweeh.

Mimi hata angeenda nae gesti tatizo nini!!!si wakwake! Anayo maamuzi yakufanya atakavyo ili mradi hajaua hicho kiumbe.huyo ni mtu mzima hawezi tembea tu na mtoto kama maonyesho lazima kuna kitu muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa nahisi ni mashoga maana wanaume wapashkuna wapo kila kona ya umbea humu wanajadili mambo binafsi ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mi nilijifungua nikaenda nyumbani nikaambiwa nirudi sababu hawezi fungua dawa ya chanjo kwa mtoto mmoja .. so nilirudi baada ya siku nne .. inatokea hasa hospital za private okey
Huku kijijini hamna hayo mambo na kwa wiki anaweza akazaliwa mtoto mmoja tu au asizaliwe.na chanjo wanapata,na sijawahikuona mwanamke akitembea eti anaenda dispensary baada ya siku chache tu akijifungua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi lini tutaacha kuwazungumzia hawa [emoji22].
hapa ndipo naamini shetani ana watu wake.
kama tumwombavo Mungu ,basi na hawa watu wasiostaarabika, shetani anawawezesha ili tuone kuwa matendo kama hayo tukofanya wala hatupatwi na janga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom