Kichanga cha Faiza Ally chaanza kutembezwa kwenye mitaa!!!

Hivi lini tutaacha kuwazungumzia hawa malaya wajaa laana[emoji22].
hapa ndipo naamini shetani ana watu wake.
kama tumwombavo Mungu ,basi na hawa watu wasiostaarabika, shetani anawawezesha ili tuone kuwa matendo kama hayo tukofanya wala hatupatwi na janga.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] malaya mjaalaana faiza?
embu nikae kimya[emoji40]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi kweli kweli... Huyo mtoto huenda akaja kupata matatizo ya ubongo..
Hilo unalilolisema nami nilifikiria hivyo hivyo...si kumuombea mabaya hapana lakini mtoto mdogo wa hivyo kumyumbisha kunaweza Leta hitirafu ya ubongo ni kheri angembeba kwa kumkumbatia MIKONONI mwake...pili hapo mama anaonyesha hana mapenzi kabisa na mtoto wake, kwa mtoto wa umri huo huwezi muweka kwenye kitenga ukatembea nae.
Kweli Kuzaa ni jambo moja lakini kulea ni jambo lingine tofauti kabisa na la msingi zaidi.
 
wanasema kulea mimba si kazi , kazi kulea mwana.
 
Hilo unalilolisema nami nilifikiria hivyo hivyo...si kumuombea mabaya hapana lakini mtoto mdogo wa hivyo kumyumbisha kunaweza Leta hitirafu ya ubongo ni kheri angembeba kwa kumkumbatia MIKONONI mwake...pili hapo mama anaonyesha hana mapenzi kabisa na mtoto wake, kwa mtoto wa umri huo huwezi muweka kwenye kitenga ukatembea nae.
Kweli Kuzaa ni jambo moja lakini kulea ni jambo lingine tofauti kabisa na la msingi zaidi.
[emoji87] makubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kubwa lipo kwa Mzazi mwenzie aka baba wa huyo Mtoto. How could he accept this? No wonder Sugu alibwaga manyanga.
 
Back
Top Bottom