Kichanga cha Faiza Ally chaanza kutembezwa kwenye mitaa!!!

Kichanga cha Faiza Ally chaanza kutembezwa kwenye mitaa!!!

Chanjo gani hiyo alienda kupewa?!



Chanjo za mwanzo za mtoto huwa zinatolewa kabla mama hajaruhusiwa kutoka hsptl.


Hapo sio aga khan ni hotel kwahiyo siwezi kukubaliana na mtu anayesema alikuwa kwny chanjo
Na wala sijakuita na kukuomba hata kukulazimisha ukubali kijana.
Mtoto wake hata akimpeleka beach wewe unaumwa nini?? [emoji15]
Pata uzazi ndiyo utajua yanayoendelea sio kuyasikia kwa watu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi mambo za kizungu za kubeba watoto kwenye vikapu mimi huwa sipendagagi kabisa. Au tule tugari twa kusukuma unamfanya mtoto kama kiwete vile .
Hazina shida kabisa ilimradi barabara ni smooth.
 
Mtoto wangu wa kwanza yupo darasa la 3
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona sasa hivi utandawazi umekuwa kwa kasi sana kichanga hakija fikisha hata siku 7(wiki moja)kinaanza kutembezwa kwenye mitaa,hili nimeliona kwa mrembo Faiza Ally.
Picha hapo chini[emoji116]
0f33a98cda554b20fe5ccb9fe4290c7e.jpg
cf35515ca87a81f49283136fad73df3b.jpg
9739e02c4defdc805c42fb4d6499a635.jpg




Nb:Wabobezi wa mambo ya Afya na dini hii imekaaje?piteni mtutoe tongo tongo kwenye hili.

-Ndumilakuwili-
Kamdhalilisha sana huyo mtt

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JUST IMAGINE MAMA YAKO NI FAIZA ALLY...........................................................................
 
Back
Top Bottom