Kichefuchefu, msaada wa haraka

Kichefuchefu, msaada wa haraka

Kuna toto la mtu ushalitia mimba huko. Unavyosikia kichefuchefu na yeye hivyo hivyo huko alipo.

Kuna baadhi ya mimba baba nae anapata dalili zake. Omba Mungu usianze kutamani udongo tu, maana dume kubwia udongo na vichekesho.

Ukipata muda google hii couvade syndrome
 
Wadau

Mimi ni dume ila huwa natambua kupata kichefuchefu baadhi ya masiku ila sio sana lakini leo kimenijaa sana hivi tatizo linaweza kuwa nini?

Je linaweza kufanya vidonda vya tumbo

Mapenzi nina miezi sijaweka kwa hewa je linaweza kuwa tatizo?

Msaada wadau
Vidonda vya tumbo na chembe ya moyo
 
Back
Top Bottom