To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Mbona ivo?🤣🤣🤣🤣Mtatongozana kisha mhamie PM! Nchi ngumu sana hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ivo?🤣🤣🤣🤣Mtatongozana kisha mhamie PM! Nchi ngumu sana hii
Dalili ya mvuaMbona ivo?🤣🤣🤣🤣
🤣Tuache bhanaDalili ya mvua
Vidonda vya tumbo na chembe ya moyoWadau
Mimi ni dume ila huwa natambua kupata kichefuchefu baadhi ya masiku ila sio sana lakini leo kimenijaa sana hivi tatizo linaweza kuwa nini?
Je linaweza kufanya vidonda vya tumbo
Mapenzi nina miezi sijaweka kwa hewa je linaweza kuwa tatizo?
Msaada wadau
Chembe moyo nayo ndo dalili zake na vidonda vya tumbo.nande kapime chooChembe ya moyo kvp