jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
So far mahakama ya juu nchini Kenya imeshasema kuwa Uchaguzi haukufuata taratibu...na uchaguzi huo ulisimamiwa na IEBC.
sasa tunasikia kuwa IEBC ile ile iliyovurunda ndio inapewa mamlaka yaleyale ya kusimamia uchaguzi.
Je kuna uhakika gani wa Tume hiyo hiyo iliyovurunda kuwa haitavurunda tena?
UPUUZI NI KUFANYA JAMBO LILE LILE UKITEGEMEA MATOKEO TOFAUTI!!