Kichekesho cha demokrasia ya Kenya!

Kichekesho cha demokrasia ya Kenya!

Kenya sifa zinawatokea puani. Walitaka kujivika sura nyeupe huku vichwani mwao kukiwa na chembe chembe za weusi. Kubadili sura hakuwasaidii wakenya, ni sawa na kufanya plastic surgery eti uwe baniani
 
Kama wewe jinsia niya kiume basi mkeo anapata shida sana na familia yako ni kichekesho cha kijiji......sisi tunataka haki kwa kulilia uchaguzi wa haki we unafikiria kufurahisha wazungu?au huo ndio mwisho wako wamawazo?pengine huelewi kinachoendelea,yafaa utambue hao wazungu ndio walisema uchaguzi ulikua wa haki,sasa tunawafurahisha vipi mahakama kwenda kinyume nao
 
Kwa taarifa nilizonazo NASA wamesema kuwa

1.Maafisa kibao wa tume ya uchaguzi watolewe na kuletwa wapya.
2.Vyama vyote vilishiriki mwanzo na sasa vishiriki.
3.Lazima kuwe na ukaguzi wa mfumo wa kuhesabu na kuwasilisha kura toka majimboni.

Bila kutimiza hayo wao hawashiriki uchaguzi
Kwani order ya Supreme Court ilisemaje? Mbona mnarukia mambo bila kuelewa!?

Malaga kasema uchaguzi ulikuwa na illigalities na irregularities, na hvyo umebatilishwa kwa maelekezo kwamba:-
1. Tume iliyopo iandae uchaguzi mpya wa Rais.
2. Uchaguzi huu uwe ndani ya siku 60 kuanzia siku ya hukumu.
3. Ambaye atakuwa na hoja yoyote baada ya hapo iwasilishwe Mahakamani.

Ssa hili la kuvunja au kubadilisha Tume lilisemwa kwenye order ipi au huyu mzee anaota!?

Vp bado tuna cha kuiga kwa demokrasia wanayoionesha wenzetu kama baadhi ya watu walivyojinasibu?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe jinsia niya kiume basi mkeo anapata shida sana na familia yako ni kichekesho cha kijiji......sisi tunataka haki kwa kulilia uchaguzi wa haki we unafikiria kufurahisha wazungu?au huo ndio mwisho wako wamawazo?pengine huelewi kinachoendelea,yafaa utambue hao wazungu ndio walisema uchaguzi ulikua wa haki,sasa tunawafurahisha vipi mahakama kwenda kinyume nao
Kenyans ni watu wasiojikubali kutwa kukopi hata wasiyoyaweza, now you are really in until you win over your childish and become mature enough
 
Kwani order ya Supreme Court ilisemaje? Mbona mnarukia mambo bila kuelewa!?

Malaga kasema uchaguzi ulikuwa na illigalities na irregularities, na hvyo umebatilishwa kwa maelekezo kwamba:-
1. Tume iliyopo iandae uchaguzi mpya wa Rais.
2. Uchaguzi huu uwe ndani ya siku 60 kuanzia siku ya hukumu.
3. Ambaye atakuwa na hoja yoyote baada ya hapo iwasilishwe Mahakamani.

Ssa hili la kuvunja au kubadilisha Tume lilisemwa kwenye order ipi au huyu mzee anaota!?

Vp bado tuna cha kuiga kwa demokrasia wanayoionesha wenzetu kama baadhi ya watu walivyojinasibu?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwaiga hawa jamaa ni kujitumbukiza kwenye shimo wakati unaliona. Hata wao wenyewe hawajikubali since walichokifanya day1 na sasa unaona kama wanarun crazy. Idiots
 
jingalao haukumbuki Zanzibar NEC uchaguzi haukuwa na dosari lakini ZEC ukasemekana kuna hitilafu licha ya chaguzi zote kufanyika siku moja na kuzingatia taratibu zilezile?

Unakumbuka tume hiyo hiyo ya mzee Jeycha iliyofuta matokeo kwa kuwepo kasoro ndio hiyohiyo ilisimamia uchaguzi wa marudio bila kubadili chochote ZEC?
ZEC iliziona dosari na ikachukua hatua na kuzirekebisha.

IEBC haikuona dosari...mahakama ikagundua dosari IEBC walionesha kushindwa na hawawezi kuaminika hasa ukizingatia kuwa IEBC hawaamini kama wamekosea...kama vile Uhuru asivyoamini.
 
Lumumba muwe na kumbukumbu, mbona haya maswali hamukuuliza Zanzibar?

ACHA nikae KIMYA...!
Zanzibar uchaguzi uliingia dosari na kuna mgombea akajitangaza kinyume na taratibu tume ya Uchaguzi ikaona sio sawa ikaamuru uchaguzi urudiwe mwizi wa kura akaingia mitini.
 
So far mahakama ya juu nchini Kenya imeshasema kuwa Uchaguzi haukufuata taratibu...na uchaguzi huo ulisimamiwa na IEBC.

sasa tunasikia kuwa IEBC ile ile iliyovurunda ndio inapewa mamlaka yaleyale ya kusimamia uchaguzi.

Je kuna uhakika gani wa Tume hiyo hiyo iliyovurunda kuwa haitavurunda tena?

UPUUZI NI KUFANYA JAMBO LILE LILE UKITEGEMEA MATOKEO TOFAUTI!!

Ushangai rambi rambi za bukoba kuliwa na serikali unaenda kushangaa kenya
 
Kenyans ni watu wasiojikubali kutwa kukopi hata wasiyoyaweza, now you are really in until you win over your childish and become mature enough
If you say fighting for a just and honest election is being immature then so be it...tutaiga yote yale tunayaona mazuri iwe kutoka kwa wa afrika hata hao wazungu.nguo unazovaa zilianza uko uzunguni,ungevaa ngozi kama hutaki kuwaiga...simu unayotumia saa ii mpaka iyo internet ni ya hao wazungu.kubali una mapungufu
Na ujue njia ya kujirekebisha sio unafiki tu
 
Michael Jackson naye alitaka kuwa kama nyie na Mungu akamwadhibu haraka sana. To deny yourself is equally as to committing suicide and the super ever judgement must be considered upon. Now Kenyan men you also enjoy marrying your fellow men because you embrace the white coloured inhuman accords (your masters) ...so wicked!
 
Kenya sifa zinawatokea puani. Walitaka kujivika sura nyeupe huku vichwani mwao kukiwa na chembe chembe za weusi. Kubadili sura hakuwasaidii wakenya, ni sawa na kufanya plastic surgery eti uwe baniani
Wewe una fikra za kujikula,kijitafuna na kujipiga mwenyewe.Ukianza fikra kama hizo kujiweka nyuma,kutojiamini ,kuamini mwafrika mwenzako mtu wa nyuma blah blah blah ,,,fikra hizo zinafanya waafrika tusijiamini kwamba tunaweza timiza hili na lile sababu tumeona tu yale yanafanywa na wazungu pekee.

Hakuna utumwa mbaya zaidi ya ule wa kujivalisha wewe mwenyewe.Mzungu atakudhamini aje sasa kama wewe mwenyewe hudhamini mweusi mwenzako?
 
Hongera Raila kwa kujitambua na kutambua ukweli
 
Kenyans wako confused kabisa.. Hata wangemkodi Mzee Jaji Lubuva wetu au Jecha Salim Jecha ili awasaidie, ila Kenyans mibishiiii.. Jaji Lubuva au Jecha angefanya kazi safi kabisa... Haa
 
Kenya sifa zinawatokea puani. Walitaka kujivika sura nyeupe huku vichwani mwao kukiwa na chembe chembe za weusi. Kubadili sura hakuwasaidii wakenya, ni sawa na kufanya plastic surgery eti uwe baniani
Nimeamini maneno yako....
 
Back
Top Bottom