Kichekesho cha demokrasia ya Kenya!

Kichekesho cha demokrasia ya Kenya!

Kenyans wako confused kabisa.. Hata wangemkodi Mzee Jaji Lubuva wetu au Jecha Salim Jecha ili awasaidie, ila Kenyans mibishiiii.. Jaji Lubuva au Jecha angefanya kazi safi kabisa... Haa
Uhuru wa tume ni pamoja na kukataa kuingiliwa na wapinzani.
 
So far mahakama ya juu nchini Kenya imeshasema kuwa Uchaguzi haukufuata taratibu...na uchaguzi huo ulisimamiwa na IEBC.

sasa tunasikia kuwa IEBC ile ile iliyovurunda ndio inapewa mamlaka yaleyale ya kusimamia uchaguzi.

Je kuna uhakika gani wa Tume hiyo hiyo iliyovurunda kuwa haitavurunda tena?

UPUUZI NI KUFANYA JAMBO LILE LILE UKITEGEMEA MATOKEO TOFAUTI!!
IEBC inatofauti gani na hii tume ya LUMUMBA[emoji196] [emoji111]
Mnaempenda kasepa[emoji126]
[emoji379] [emoji379] za nn?
 
Back
Top Bottom